Kuna kasumba imejengeka ambayo inaweka classes za watu kulingana na Mkoa wanakotokea.
Mathalani Mikoa ya Business Class (VVIP) ,Hawa Hujiona superclass na kwamba wanastahili attention
Dar
Arusha...
Maisha ya chuo yana vurugu nyingi sana za kingono. Hosteli watu wanapigana "exile" kila siku. Waliopanga mitaani wanapika na kupakua pamoja kana kwamba wameoana. Wadada wengine wanapigwa "mtungo"...
Unakumbuka siku ile vijana wanamfuata Yesu na kumwambia Kuhani Mkuu anataka kumuua kwahiyo aondoke Yesu aliwajibu?
“Nendeni mkamwambie huyo mbweha hivi: ‘Leo na kesho ninafukuza pepo na kuponya...
Naomba leo anayejua anieleweshe hapa, kwa nia nzuri kabisa. Yesu alisema tuombe kwa kupitia Jina lake, inakuwaje watu wanaomba kupitia maria? naangalia tumaini tv hapa padre akasema tuombe kwa...
Kipindi kile nipo Form One nilikuaga nikipiga nyeto naweza unganisha bao mbili mfululizo. Yaani nikirusha wazungu, mashine hailali naweza endelea hadi narusha tena.
Lakin tangu nivuke miaka 18...
Salaam Wakuu,
Thread hii ya Mwendelezo, itatumika kuangazia hali ya Usalama na matokeo yake katika Mzozo wa Ukraine na Urusi.
Tuzujane hapa kianachojiri..
Mvutano kati ya Ukraine na Urusi...
Maisha yamenitenda ubaya sana. Mwezi ya nne sasa nakula mlo mmoja tu Kwa siku(Wakati wa usiku).
Ee Mungu unae watajirisha wengine naomba nikumbuke.
Mimi bado kijana mdogo mwenye ndoto nyingi...
1. Inaelezwa kuwa kiungo wa Young Africans Aziz Ki ameongeza mkataba wa miaka miwili na timu hiyo
2. Klabu ya Azam na Young Africans zinamuwania beki kisiki wa Coastal Union Lameck Lawi
3. Kuna...
Nakupingeza sana samia kuifanya nchi kuwa kivutio cha uwekeza nje ya africa n africa kwa ujumla.
Nasikiliza hapa dw kuna majadala wa wa mazingir ya biashara kenya. Wachangiaji wamewaka hapa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.