Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Pata shida ndio hautashangaa maamuzi watu wanayoyafanya. Nilipofikia sasa ni kuanguka, kila linachonizunguka kinapotea yani nipo kwenye ncha ya kufirisika na kinachofatia nitashindwa kuhudumia...
4 Reactions
28 Replies
357 Views
Marekani imesema inaitambua rasmi Kenya kama Mshirika wake wa karibu Kiusalama ambae sio mwanachama wa NATO Ili kukabiliana na Ushawishi wa Russia na China Barani Afrika na hususani Afrika...
8 Reactions
80 Replies
735 Views
Habari wana jamii forum. Nina mtoto wangu wa kiume miaka 2 na nusu, mwanagu huyu anasumbuliwa mno mno na kifua na hata mafua. Nimehangaika hospital nyingi anapewa madawa na kuchomwa sindano kwa...
0 Reactions
14 Replies
222 Views
Alikuja akaniazima ghetto,bila hiana nikamuazima alikuwa na pisi yake moja maridhawa! mtoto mchongoko,uno la kigoda ngozi nyepunyepu halafu kamdomo kale kakuombea miamala!.. ujinga wa huyu rafiki...
10 Reactions
41 Replies
624 Views
Kwa ukaidi wa hali ya juu jeshi la Israel limesema litaingia Rafah ili kuwamaliza Hamas.Hata hivyo vijana wa Hamas wameonekana kujikushanya maeneo mengine mengi ya Gaza wakitoa upinzani mkali kwa...
4 Reactions
24 Replies
1K Views
Kama una Laptop mbovu nichek fasta nikupe pesa, bei sio specific inategemea na UBOVU, SPECIFICATION, MODEL Nipo ILALA - DSM 0718290779
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Shunie Extrovert Jimena FRANC THE GREAT The 13 Mnazareth Daudi Mchambuzi Dinazarde Carleen Wangari Maathai Mshana Jr
26 Reactions
7K Replies
133K Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
124 Reactions
519K Replies
30M Views
Kuna matukio mawili yameongozana yamedhihirisha ni wazi TFF ina watu wasiokuwa na uadilifu, wasiokuwa na maono na hawana upeo wa kufikiria, kuchambua vitu kwa kina. Tukio la kwanza ilikuwa ni...
0 Reactions
2 Replies
38 Views
Habari wakuu ni matumaini yangu wote ni wazima,Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 24,naomba msaada natamani sana kwenda kufanya kazi ulaya, elimu yangu nimeishia four 4,pasport ninayo naomba...
8 Reactions
32 Replies
420 Views

FORUM STATS

Threads
1,856,338
Posts
49,688,606
Back
Top Bottom