Mtoto mdogo anayedaiwa kuwa alikuwa ni mwanafunzi wa darasa la 6 Shule ya msingi Malamba Mawili amejinyonga eneo la Msikitini.
Mwili huo umegunduliwa ukining'inia chini ya mti mbele ya nyumba ya...
Utambulisho wa Viongozi wa Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Bungeni wakati wa Uwasilishwaji wa Bajeti ya mwaka wa fedha 2024/2025 ya Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, tarehe...
Ni kweli tuna zimwi liitwalo Muungano na halieleweki Wala kuandikika na linatugawa Kila kukicha tukafikia hatua tukalipaka rangi kuwa liitwe "KERO za muungano"!
Wazee wetu walioushuhudia muungano...
Habari zenu ndugu zangu,
Nauza viti vilivyotengenezwa kwa Chuma na mbao.
Bei ni 15000 kwa kila kiti.
Napatikana Dar es Salaam.
Mawasiliano ni 0626753305
Ndugu zangu Watanzania,
Michago ya kumchangia Lissu Fedha za kununulia Gari imewaumbua sana CHADEMA, imewapa aibu,fedheha ,imewavua nguo hadharani na imeonyesha na kuthibitisha kauli yangu...
Huu ni Wosia kwa Vijana wote wa Tanzania uliotolewa na mbunge wa Nzega Vijijini Dr Kigwangala
" Ukiwa Juu Epuka sana Jeuri Kiburi na Majivuno kwani kuna Kupanda na Kuanguka"
Wosia ameuandika...
Nimefanikiwa kupiga soga na hawa watu wa kanda ya nyonyo wanalaani vikali kuongozwa na wasimbe tena wanasema bora hata wasimbe tu ila sio toka nchi za mbali waliozungukwa na mqji pande zote.
Kwani...
Nimegundua familia nyingi sana ya sisi wa Afrika, kuwa kuna kauli mama hawezi ziongelea, kumwambia mumewe hata kama sio sawa, n.k
Baba anapochukua maamuzi hata kama sio sawa mama huwa hana kauli...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.