Mkuu wa mkoa wa Njombe Antony John Mtaka umekuwa ukisifiwa na wengi Kwa kauli imara za kiongozi. Nakufahamu vizuri, wewe ulianza kama Polisi na ukaacha kazi mara ulipopewa nafasi ya kuwa mkimbiza...
Maisha yamenitenda ubaya sana. Mwezi ya nne sasa nakula mlo mmoja tu Kwa siku(Wakati wa usiku).
Ee Mungu unae watajirisha wengine naomba nikumbuke.
Mm bado kijana mdogo mwenye ndoto nyingi sana...
Mafundisho mapya ya kanisa kuhusu "matukio ya kimuujiza" yatatangazwa kwenye mkutano na waandishi wa habari utakaofanyika na Vatican siku ya Ijumaa. Taarifa hii imechapishwa kwenye tovuti ya Ofisi...
Salamu kamsalimie waziri wa Afya.
Nikiwa kwenye sintofahamu kwanini mambo Yana badirika kimya kimya namna hii.
Inakuwaje kadi ya clinic iliyoandikwa haiuzwi na Sasa inauzwa Kwa Tsh 10,000/=...
Jaman mimi ni muajiriwa nafasi fulani ya juu kidogo hapa nchini.
Nimeweza kupata mil 70 ambayo ni matokeo ya SAVING ya muda mrefu na hela zangu fulani nilikuwa nazidai kulipwa.
Mpango nilionao ni...
Mdoli huyu hata vitoto vyenye certificate ya electronic ya pale VETA vinaweza kuujenga.
Mdoli eti mpaka uusogelee usubiri dk kadhaa apate hisia ya kunyoosha mkono .
Mdoli waneupaka rangi ya...
Mimi labda ninatatizo ila kiukweli AY sijawahi kumuelewa kabisa. Tangu nimeanza kumsikiliza wayback hajawahi kutoa ngoma nikaielewa kabisa. Labda ile Yuleee, nampenda sana jinsi alivyooo.... nayo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.