Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Huu ni Wosia kwa Vijana wote wa Tanzania uliotolewa na mbunge wa Nzega Vijijini Dr Kigwangala " Ukiwa Juu Epuka sana Jeuri Kiburi na Majivuno kwani kuna Kupanda na Kuanguka" Wosia ameuandika...
0 Reactions
15 Replies
75 Views
Siku ya leo ni balaa . Vichwa vingi vinawaza uzinifu tu. Bora hata uwe busy ukiwa jobless ni kama unabeba na upwiru wa wenzako unakutesa kinoma kisha huna hata buku tatu ukachungulie mitaa ile ...
6 Reactions
14 Replies
191 Views
Hii inachekesha kidogo 😂😂😂 Je wewe ni aina gani ya Mke au upo katika aina gani ya mke? Hata kama hajaolewa lakini unatumaini kuwa Mke wa mtu. 1. BOXING WIVES : Hawa ni aina ya wake wanaopigana...
2 Reactions
14 Replies
15 Views
Huu mwezi wa majanga ya kujinyonga tu, kaanza Askofu, kafata mwanafunzi akisomea upadre amebaki masister nao mjihadhari na hii roho mtaumbuka. Nimeona huyu askofu amezikwa kikristo baada ya...
1 Reactions
7 Replies
103 Views
Hakuna haja ya kununua bisi. Ni gharama ndogo sana kuzipika nyumbani kwa kutumia jiko la gesi. Nunua mahindi ya popcorn. Kilo inauzwa 4,000 na ndonya 1,500. Tenga sufuria kubwa kubwa jikoni...
2 Reactions
6 Replies
71 Views
Kumekuwa na mtindo wa kudai nafasi za Uongozi ktk serikali ya Muungano kati ya dini mbili; waislamu na wakristu. Kuna watu hadi hutoa hesabu kati ya dini hizi mbili. Ni dalili ya udini ndo inaleta...
0 Reactions
8 Replies
9 Views
Nimegundua familia nyingi sana ya sisi wa Afrika, kuwa kuna kauli mama hawezi ziongelea, kumwambia mumewe hata kama sio sawa, n.k Baba anapochukua maamuzi hata kama sio sawa mama huwa hana kauli...
5 Reactions
15 Replies
129 Views
Kuna watu huwa wanajizarau kuwa Bongo bahati Mbaya ila huwa nacheka tu, ila hawajui sehem inaitwa INDIA au Wahindi Moja kati ya watu wa hovyo linapokuja swala la biashara ni Wahindi Mhindi ni mtu...
3 Reactions
6 Replies
7 Views
Wadau mambo ni gani aseee? Nimehitimu chuo mwaka 2020, BSC education chemistry and biology from SUA. Historia ya safari yangu katika elimu from primary mpka chuo ipo hivi... Kwanza nianze kwa...
5 Reactions
16 Replies
357 Views
Wakuu mpo salama? Twende moja kwa moja kwenye mada. Wakuu, haya mabango mawili ni shughuli mbili tofauti ambapo serikali ilialikwa na wadau kushiriki kwenye shughulii hizi. Hii ya kwanza ilikuwa...
1 Reactions
1 Replies
2 Views

FORUM STATS

Threads
1,855,960
Posts
49,678,271
Back
Top Bottom