Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Tunafahamu juhudi za serikali katika kuhakikisha watoto wote wanaotoka katika familia duni wanapata elimu na ndio maana serikali ilisema marufuku michango ya aina yoyote katika shule za serikali...
2 Reactions
26 Replies
126 Views
Wadau hamjambo nyote? ======= Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), imemteua Suzan Peter Kunambi kuwa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wanawake Tanzania (UWT). Kamati hiyo...
5 Reactions
58 Replies
3K Views
Samia suluhu Hassan ndio alikuwa Kiongozi pekee wa awamu ya 5 ambae alijitoa muhanga kwenda kumjulia Hali Tundu Lisu hospital Nairobi wakati wengine wakisubiria breaking news. Lakini Cha ajabu...
5 Reactions
99 Replies
601 Views
Wadau hamjamboni nyote? Huu ni Uzi maalumu Kwa watu maalumu na walio makini kutupa uzoefu wa orodha ya matukio mbalimbali yakiyohusisha adhabu walizopata wale waliokusudia kuwadhuru Waisrael...
2 Reactions
3 Replies
139 Views
Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri. Kazi iendelee. Mama Samia, wakazi na wapiga kura wako wa Goba njia ya Tegeta A kwenda kutokea Madawa na njia Tegeta A kuelekea Kulangwa kupitia makanisa ya...
0 Reactions
53 Replies
2K Views
Kwa wale wenye ufahamu mkubwa na masuala ya intelligency watakubaliana nami kuwa CIA ni shirika la kijasusi lenye mtandao mpana ajabu duniani, shirika hili hununua raia wa nchi husika na kuwafanya...
7 Reactions
130 Replies
23K Views
Toka akoswe risasi Kawa kimya na Bunge kinaendelea Dodoma. Yupo wapi huyu mzalendo
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Rais Biden wa USA amesema Nchi yake inapinga amri ya ICC ya kuwakamata Waziri mkuu wa Israel mh Benjamin Netanyahu na Waziri wake Gallant Biden amesema ni makosa makubwa kuwaweka Israel kwenye...
10 Reactions
73 Replies
2K Views
Serikali ya Marekani yasema haijaidhinisha safari ya Anasa ya Rais Rutto nchini humo Msemaji wa Marekani mh Andrew amesema " kwa kweli Marekani haijalipia ndege ya kukodi ya Rutto kwenda Marekani...
2 Reactions
6 Replies
87 Views
Magari hayo ni ya kimkakati na kazi maalumu. Yatasambazwa kwenye kila kanda, katika kanda zote za kichama nchi nzima. Magari haya yatakua chini ya usimamizi wa viongozi waandamizi wa kanda...
5 Reactions
59 Replies
839 Views

FORUM STATS

Threads
1,855,927
Posts
49,677,153
Back
Top Bottom