Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Habari wana JF mashine ya kupakia na kufunga viuongo nk. Bei ni m4.5 inapatikana dar karibuni mawasiliano 0677493300
1 Reactions
9 Replies
157 Views
Mtoto mdogo anayedaiwa kuwa alikuwa ni mwanafunzi wa darasa la 6 Shule ya msingi Malamba Mawili amejinyonga eneo la Msikitini. Mwili huo umegunduliwa ukining'inia chini ya mti mbele ya nyumba ya...
4 Reactions
34 Replies
609 Views
Utambulisho wa Viongozi wa Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Bungeni wakati wa Uwasilishwaji wa Bajeti ya mwaka wa fedha 2024/2025 ya Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, tarehe...
8 Reactions
59 Replies
2K Views
Ni kweli tuna zimwi liitwalo Muungano na halieleweki Wala kuandikika na linatugawa Kila kukicha tukafikia hatua tukalipaka rangi kuwa liitwe "KERO za muungano"! Wazee wetu walioushuhudia muungano...
3 Reactions
7 Replies
62 Views
Habari zenu ndugu zangu, Nauza viti vilivyotengenezwa kwa Chuma na mbao. Bei ni 15000 kwa kila kiti. Napatikana Dar es Salaam. Mawasiliano ni 0626753305
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Wadau humu naombeni muongozo najua kuna watu humu walishawahi fika zanzibar kula bata. Sasa nataka niende by ijumaa niende kuhudhuria ile fullmoon party,je vitu gani nitarajie?
5 Reactions
45 Replies
589 Views
Ndugu zangu Watanzania, Michago ya kumchangia Lissu Fedha za kununulia Gari imewaumbua sana CHADEMA, imewapa aibu,fedheha ,imewavua nguo hadharani na imeonyesha na kuthibitisha kauli yangu...
15 Reactions
255 Replies
3K Views
Huu ni Wosia kwa Vijana wote wa Tanzania uliotolewa na mbunge wa Nzega Vijijini Dr Kigwangala " Ukiwa Juu Epuka sana Jeuri Kiburi na Majivuno kwani kuna Kupanda na Kuanguka" Wosia ameuandika...
1 Reactions
19 Replies
146 Views
Nimefanikiwa kupiga soga na hawa watu wa kanda ya nyonyo wanalaani vikali kuongozwa na wasimbe tena wanasema bora hata wasimbe tu ila sio toka nchi za mbali waliozungukwa na mqji pande zote. Kwani...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Nimegundua familia nyingi sana ya sisi wa Afrika, kuwa kuna kauli mama hawezi ziongelea, kumwambia mumewe hata kama sio sawa, n.k Baba anapochukua maamuzi hata kama sio sawa mama huwa hana kauli...
5 Reactions
18 Replies
140 Views

FORUM STATS

Threads
1,855,966
Posts
49,678,376
Back
Top Bottom