Jameni mpaka mtu uwe na mawazo kama haya ina maana umevurugwa kiasi gani na mafundisho ya kidini, mkiambiwa mumevurugwa mnalia lia udini, poleni sana, you're messed up...
Kwa manufaa na heshima ya nchi ni vema TFF ikahakikisha Simba inaungana na Yanga kwenye Ligi ya Mabingwa.
Nasema hivi kwasababu ndizo timu pekee zilizo serious na mpira wa miguu. Azam ni timu ya...
[emoji725][emoji725][emoji725][emoji725]
Leo tuangukie Sita kwa sita !! ..ni ndefu ila maliza ,ikuongezee kitu,
Huko nyuma niliwah andika uzi namna gani ya kua na uwezo wa kuhimili tendo zaidi...
Kuna mdau analalamika "Nimetafuta hela, nimezipata. Mwili umekubali na nimenona, lkn wanawake hawanitaki.
Sababu ambazo wanawake wanazitoa ni kwamba nimenenepa sana, nina kitambi kikubwa".
Swali...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nimeishi na mke wangu zaidi ya miaka 30, lakini nilihisi ana bwana wa pembeni, nikaanza kufanya uchunguzi, kweli nikafuma baadhi ya msg , ambaxo kwa tabia...
Imedaiwa kuwa Safari ya siku 4 ya Rais William Ruto ambaye amealikwa na Rais Joe Biden, itagharimu takriban Tsh. Bilioni 3.94 kutokana na uamuzi wa Ikulu ya Kenya kukodi Ndege aina ya Boeing...
Full name: Liverpool Football Club
Nickname(s): The Reds
Founded: 3 June 1892
League: Premier League
Website: LiverpoolFC.com
Ground: Anfield, (Capacity: 54,074) - Pitch 101m x 68m...
Huyu ni msichana ambae nimekua nae kwenye mahusiano kwa zaidi ya miaka miwili
Pamoja na changamoto za hapa na pale za kimahusiano lakini tulijitahidi kuwa pamoja kwa kipindi chote hicho.
Kuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.