Hey pals it's len again,
I know ni usiku lakini nataka kushare hi experience, I'm going through series of heart breaks right now and if I ever fail in life it's not me Iam failing but my beloved...
Kuna mdau analalamika "Nimetafuta hela, nimezipata. Mwili umekubali na nimenona, lkn wanawake hawanitaki.
Sababu ambazo wanawake wanazitoa ni kwamba nimenenepa sana, nina kitambi kikubwa".
Swali...
Wanabodi,
Wakati tukijiandaa rasmi kuingia kwenye serikali 3, tutake tusitake, lazima tutarudi nyuma kuungazia muungano wetu, na kabla hatujaingia katika serikali tatu, lazima kwanza tuwe na...
Sina maneno mengi. Mimi ni mpenzi wa Magwaride ya Kijeshi. Katika magwaride ya nguvu ambayo JW wamewahi kufanya ni hili la mwaka 2021, miezi michache kabla ya Kifo cha Magufuli.
Kweny hili...
Serikali imewataka wananchi kuelewa kwamba hakuna Malipo ya Fidia kwa walioathiriwa na bomoabomoa ya kupisha utanuzi wa barabara ya Kimara-Kibamba
Serikali imesema bomoabomoa hiyo ilitumia Sheria...
Baadhi ya maafisa wa Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) ambayo miezi kadhaa iliyopita ilikabidhiwa jukumu la kusimamia maduka ya dawa kutoka Baraza la Famasi ambao walikuwa na jukumu hilo awali...
Kudadadeki kamata Kiteknolojia Mfumo wa Mawasiliano hasa wa Ndege(Anga) kisha fuatilia kwa umakini sana Ratiba za Kiongozi wa Juu kisha msetini vyema katika Target na akijaa tu ingilieni Mfumo wa...
Salaam wana JF, k
Kifupi mimi niko nje ya nch napiga box lakin mipango yangu baada ya miaka 4 hiv nirudi nyumbani, hizi kaz za viwanda kusimama 8hrs naona nikikomaa life iwe huku nitaumia coz...
Ndugu zangu wana Jf habari zenu.
Unajua kwenye haya maisha tunapitia mengi sana hasa katika utafutaji kwa upande wa Wanaume. Tunakutana na mambo mengi sana ya aibu, kukatishwa tamaa, kuachwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.