Habarini wanajamvi, kama kichwa cha habari kinavojieleza hapo juu. Hivi nini kinakujia akilini baada ya kubadilishana namba za simu na mdada ukimcheki anaanza kukuambia nitumie vocha sms zangu...
Hakuna asiyefahamu kuwa Bara la Asia ndiye tajiri mkubwa wa imani za kidini takribani asilimia 60 ya dini zimetoka katika bara la Asia niwazi kuwa ndiyo bara lenye ustaarabu mdogo kuliko mabara...
Maafisa Waandamizi wa Usafirishaji wamepata ajali Kwa kugonga gari Aina ya Range Rover Kondoa, tuchukue tahadhari kuwalinda maafisa hawa muhimu Kwa Uchumi wetu.
BINTI ALIYEDAI ANAISHI NA NYOKA AJISALIMISHA KWA WAZIRI DKT. GWAJIMA
Aomba radhi, adai hajawahi kufanya hivyo alidanganya.
DAR ES SALAAM.
Itakumbukwa hivi karibuni ilienea video mitandaoni...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Mwanaume upo kwenye mtoko na mwanamke wako, mwanamke wako kavaa nguo inaonesha hadi vitu vya sirini, mwanaume unakenua jino tu ukiwa umeshikamana na mwanamke wako hadharani.
Mnapiga na picha na...
Chama cha ACT-WAZALENDO kilianza vizuri katika ujenzi wa chama hasa ngazi juu lakini leo chama cha ACT WAZALENDO kimeshusha madaraka kwa viongozi wa majimbo 264.
Majimbo haya 264 ambayo walichagua...
Mimi ni Mtanzania ninayeishi Marekani, kuna Mtanzania mwenzetu mbaye alikuja kama Mwanafunzi hapa, sijui vizuri kuhusu historia yake huko nyuma.
Miaka kadhaa iliyopita alipata changamoto ya Afya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.