Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Vijana endeleeni kuomba KAZI, nawaombea Mungu mwema wangu wote wenye uhitaji mfanikiwe.
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Imedaiwa kuwa Safari ya siku 4 ya Rais William Ruto ambaye amealikwa na Rais Joe Biden, itagharimu takriban Tsh. Bilioni 3.94 kutokana na uamuzi wa Ikulu ya Kenya kukodi Ndege aina ya Boeing...
0 Reactions
10 Replies
368 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
124 Reactions
518K Replies
30M Views
Et nikifikisha miaka 30 nitakua tayari na nyumba, Gari, Mke, Biashara kadhaa ,kazi nzuri n.k ?.... Hivi Kijana kama wewe uwazaye haya wee ni Mungu. Toka juzi Kuna nyuzi naziona ona humu...
17 Reactions
11 Replies
57 Views
ICC kusema Waziri Mkuu wa Israel akamatwe Kwa makosa ya uhalifu dhidi ya binadamu, naona kunashadadiwa Sana na baadhi ya watu. Lakini makosa ya Netanyahu yanafanana Sana na makosa anayotuhumiwa...
3 Reactions
13 Replies
169 Views
Salaam, Shalom!! Kuna wimbi linaendelea kujitokeza la vifo tata kuhusu viongozi wa kiroho. Miezi kadhaa iliyopita, yaliripotiwa matukio ya Padri kukutwa ameuwawa na kutupwa, wengine wakiuwawa...
3 Reactions
55 Replies
342 Views
A
Mimi ni Mtanzania ninayeishi Marekani, kuna Mtanzania mwenzetu mbaye alikuja kama Mwanafunzi hapa, sijui vizuri kuhusu historia yake huko nyuma. Miaka kadhaa iliyopita alipata changamoto ya Afya...
85 Reactions
434 Replies
14K Views
Ndugu zangu Watanzania, Michago ya kumchangia Lissu Fedha za kununulia Gari imewaumbua sana CHADEMA, imewapa aibu,fedheha ,imewavua nguo hadharani na imeonyesha na kuthibitisha kauli yangu...
6 Reactions
53 Replies
458 Views
Mhe David Kafulila Mkurugenzi Mkuu wa Ubia nchi PPP amewatoa hofu Watanzania kuwa Serikali yao ya awamu sita ina nia na dhamira njema dhidi yao. Katika kipindi Cha DK 45 Cha ITV Kafulila...
12 Reactions
150 Replies
1K Views
Wakuu nahitaji kulima mboga mboga hasa chinese na tembele kwenye uwanja wangu wenye ukubwa wa nusu eka, nimezunguusha fensi na nimechimba kisima kwa ajili ya maji ya kumwagilia. Nahitaji...
0 Reactions
8 Replies
116 Views

FORUM STATS

Threads
1,855,831
Posts
49,674,212
Back
Top Bottom