Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Habari za muda huu wana JF, natumai ninyi ni wazima wa afya na kama kuna mgonjwa kati yenu basi mwenyezi mungu amponye. Bila kupoteza muda tuje kwenye mada husika iliotuleta hapa kwenye huu uzi...
3 Reactions
19 Replies
807 Views
Haya ni maisha ya kawaida kwa mikoa iliyo mingi hapa Tanzania labda ukiiondoa Dar pekee. Maisha ya mikoani ni full kufatiliana wajue unafanya nini au unapanga kufanya nini na lengo sio kusaidia...
8 Reactions
26 Replies
707 Views
Watumishi wa umma Kwa umoja wenu ninawasalimu na kuwaomba msome ujumbe huu,wenye kilio cha Afisa utumishi Halmashauri ya Mwanga. Mh Waziri uliyeaminiwa na Mh Rais Samia suluhu Hassani, tunakuomba...
1 Reactions
11 Replies
805 Views
Facts- Biblia ni kitabu cha kale zaidi dunaini zenye zaidi miaka 3000 licha ya kuwa kitabu cha imani lakini kimeba historia ya mambo ya kale kwa usahihi kabisa,ushahid wa kihistoria nje biblia...
2 Reactions
12 Replies
247 Views
Usithubutu hata 👌🏾 kwa hawa jamaa aiseeh, wee acha tu! 😂
8 Reactions
14 Replies
347 Views
Ndugu zangu Watanzania, Michago ya kumchangia Lissu Fedha za kununulia Gari imewaumbua sana CHADEMA, imewapa aibu,fedheha ,imewavua nguo hadharani na imeonyesha na kuthibitisha kauli yangu...
11 Reactions
153 Replies
2K Views
Mama mmoja aliyefahamika kwa jina la Mchanga Omar Said mkazi wa kijiji cha Sizini wilaya ya Micheweni visiwani Zanzibar ameripotiwa kuwa amejifungua na kukizika kichanga kikiwa hai. Akizungumza...
1 Reactions
28 Replies
344 Views
Kufuatia kibali cha mwendesha mashtaka wa ICC ya kuwakamata Waziri Mkuu wa Israel Netanyahu na waziri wake wa Ulinzi bwana Yoav Gallant .nchi ya Norway imesema leo kuwa Viongozi hao wasithubutu...
4 Reactions
33 Replies
553 Views
Kila kona anapigwa spana. Sijui hakujiandaa kuwa Rais alishtukia amekuwa Rais hivyo hakujua anachofanya ofisini kabisa. Yeye kila aliyekuwa anaonesha ana mawazo positive ya kumzidi yeye basi...
16 Reactions
104 Replies
4K Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
124 Reactions
518K Replies
30M Views

FORUM STATS

Threads
1,855,875
Posts
49,675,448
Back
Top Bottom