Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Ligi ya NBC inaendelea leo ambapo Simba SC itapambana na Geita Gold kwenye uwanja wa Chamazi Complex. Simba inatafuta nafasi ya 2 huku Geita Gold ikijinusuru kushuka daraja. Mechi hii itapigwa...
5 Reactions
212 Replies
4K Views
Katika hali ya kushangaza waziri wa mambo ya nje wa zamani wa Iran Javad Zarif ameilalamikia Marekani kwa ajali ya Helikopta iliyosababisha kifo cha Rais wao Ebrahim Raisi. Javad anasema ajali...
36 Reactions
77 Replies
3K Views
Taarifa hii iwafikie wabishi wote popote walipo, kwamba, ndani ya Tanzania kuna viwanda vya magari 13 Waziri wa Viwanda Dkt Kijaji amethibitisha --- Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt. Ashatu...
10 Reactions
62 Replies
1K Views
Wakuu hongera kwa wikiendi ya leo glories and praise to the LORD: Wakuu kuna jambo linanitatiza kitambo kidogo na sijawahi kuona kama limewahiletwa mezani kujadiliwa,ama mara nyingi mitaani ndio...
0 Reactions
6 Replies
116 Views
Men do not benefit from marriage!!! 1. He is 72 years old. 2. He has retired from active service. 3. He worked all his life to raise his children. 4. He deprived himself of life's pleasures to pay...
4 Reactions
25 Replies
66 Views
Mwalimu mkuu/Mkuu wa shule anaingiziwa hela kwenye akaunti ya shule......, Anaandikiwa barua ya kukaimishwa uafisa masuhuli na mkurugenzi ili asimamie kikamilifu fedha hizo zifanye kazi...
0 Reactions
4 Replies
16 Views
Binafsi natumia wimbo wa Wiz Khalifa_High_as_me
6 Reactions
72 Replies
964 Views
Tofauti na ndege za abiria kubwa,helkopta inaruka kwenda juu sawa na ndege ndogo za abiria.Si zaidi ya futi 10000. Ziko chche ambazo zimewekewa injini za turbine ambazo ni za kisasa ambazo...
4 Reactions
5 Replies
259 Views
Mchezaji aliyewahi kuichezea Simba kwa siku 54 Dejan Georgijević ameshinda kesi ya madai dhidi ya Simba na anatakiwa kulipwa milion 500 za Kitanzania kwa kukiukwa mkataba wake wakati anachezea...
4 Reactions
15 Replies
437 Views
Hawa miamba wa Kiarabu niliowataja Vifo vyao vimekuwa kana kwamba ni Watu wasio na intelejensia inayowalinda Japokuwa hii ya Ebrahim Raisi inadaiwa inatokana na Exodus 14:14 " Mungu Atawapigania...
11 Reactions
109 Replies
3K Views

FORUM STATS

Threads
1,855,816
Posts
49,673,333
Back
Top Bottom