Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Je unajiskiaje wenzako wa rika lako wakiwa mbele kimaendeleo Yani wamekuacha. Je utakuwa Karibu nao kwa kujipendekeza ili wakupe connection Au utaamua kujitenga nao?
0 Reactions
7 Replies
28 Views
Maisha ya sasa yamebadilika Kumwachia Mungu kila kitu nahisi nae anachoka wakati mwingine. Kuna kazi nataka kuwapa watu/mtu atakae iweza kwa Dau atakalo litaka. Kazi ataifanya yeye na Team Yake...
1 Reactions
14 Replies
112 Views
Mwalimu mkuu/Mkuu wa shule anaingiziwa hela kwenye akaunti ya shule......, Anaandikiwa barua ya kukaimishwa uafisa masuhuli na mkurugenzi ili asimamie kikamilifu fedha hizo zifanye kazi...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Mwanafunzi wa Upadri (Frateri) wa Kanisa Katoliki Shirika la Roho Mtakatifu Jimbo la Tanga Rogassion Hugho anadaiwa kujinyonga hadi kufa. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga, Almachius Mchunguzi...
3 Reactions
67 Replies
2K Views
Maisha yangu kwa muda mrefu nimekuwa nikiwa mdau wa kupenda sana ku hang na marafiki, nilipofika kwenye 25 nikaanza ku hang zaidi na small circle ya marafiki watano tu ambao tupo karibu sana Kwa...
3 Reactions
9 Replies
28 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
124 Reactions
518K Replies
30M Views
Wanajamvi, Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?
42 Reactions
51K Replies
3M Views
Chini ya mwana mama shupavu na CEO wa NMB PLC Mrs. Ruth Zaipuna sasa kwa mara ya kwanza tangu uhuru hatifungani ya NMB Jamii Yaanza Kuuzwa Soko la Hisa London. Benki ya NMB imetanua wigo wa...
39 Reactions
175 Replies
3K Views
Sifa zake:- 1. Awe ni rais mstaafu wa JMT mkongwe kuliko wote. 2. Awe amehudumu kiti cha urais kwa mihula 2 (miaka 10). Majukumu yake. 1. Kuridhia maamuzi ya serikali juu ya uuzwaji ama...
2 Reactions
15 Replies
97 Views

FORUM STATS

Threads
1,855,810
Posts
49,673,111
Back
Top Bottom