Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Salaam wana JF, kifupi mimi niko nje ya nch napiga box lakin mipango yangu baada ya miaka 4 hiv nirudi nyumbani, hz kaz za viwanda kusimama 8hrs naona nikikomaa life iwe huku nitaumia cz life huku...
2 Reactions
20 Replies
125 Views
Kwa manufaa na heshima ya nchi ni vema TFF ikahakikisha Simba inaungana na Yanga kwenye Ligi ya Mabingwa. Nasema hivi kwasababu ndizo timu pekee zilizo serious na mpira wa miguu. Azam ni timu ya...
5 Reactions
38 Replies
735 Views
Wanabodi Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa, huja na kwa Maslahi ya Taifa, kila Jumatano kwenye gazeti la Mwananchi na Jumapili kwenye gazeti la Nipashe na kwenye kipindi cha KMT on Channel...
11 Reactions
127 Replies
2K Views
Wewe ni bosi upo kampuni flani au kwenye taasisi ya serikali lakini unatumia mamlaka yako vibaya kwa kuwakandamiza na kuwanyanyasa walio chini yako na kuwadhulumu stahiki zao, nini faida ya yote...
1 Reactions
1 Replies
45 Views
Mtu mweusi hatenganishwi na makando-Kandi. Mnashida gani lakini?
1 Reactions
1 Replies
2 Views
Ligi ya NBC inaendelea leo ambapo Simba SC itapambana na Geita Gold kwenye uwanja wa Chamazi Complex. Simba inatafuta nafasi ya 2 huku Geita Gold ikijinusuru kushuka daraja. Mechi hii itapigwa...
3 Reactions
81 Replies
1K Views
Nsikuchoshe na Usinchoshe, tusichoshane! Nimekuwa nikiwasikia watu wanaojiita "Madaktari" pamoja na watu wanaojiita "Wataalamu wa lishe" wakizungumza au wakitoa ushauri wa namna ambavyo...
2 Reactions
11 Replies
167 Views
Taarifa hii iwafikie wabishi wote popote walipo, kwamba, ndani ya Tanzania kuna viwanda vya magari 13 Waziri wa Viwanda Dkt Kijaji amethibitisha --- Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt. Ashatu...
10 Reactions
48 Replies
928 Views
Mwendesha mashtaka mkuu wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu wa Kivita, ICC, ametoa maombi ya kukamatwa kwa Waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu na kiongozi wa Hamas katika Ukanda wa Gaza kwa...
4 Reactions
59 Replies
1K Views
Wakuu nahitaji kulima mboga mboga hasa chinese na tembele kwenye uwanja wangu wenye ukubwa wa nusu eka, nimezunguusha fensi na nimechimba kisima kwa ajili ya maji ya kumwagilia. Nahitaji...
0 Reactions
7 Replies
104 Views

FORUM STATS

Threads
1,855,795
Posts
49,672,598
Back
Top Bottom