Rais Biden wa USA amesema Nchi yake inapinga amri ya ICC ya kuwakamata Waziri mkuu wa Israel mh Benjamin Netanyahu na Waziri wake Gallant
Biden amesema ni makosa makubwa kuwaweka Israel kwenye...
Bila shaka wengi wetu tunajua huyu mdada alifiwa na mume wake wa kwanza.
Baadae akatokea ustaadhi mmoja hapa chuga akamsilimisha na kumfanya mkewe.
Baada ya muda dogo akadoda wakachana akawa...
Habarini wanajamvi, kama kichwa cha habari kinavojieleza hapo juu. Hivi nini kinakujia akilini baada ya kubadilishana namba za simu na mdada ukimcheki anaanza kukuambia nitumie vocha sms zangu...
Habari wakuu,
Kiukweli kwenye haya maisha sio lazima ufundishwe kila kitu. Kuna wakati unafika unajaribu kupambana na kulifanya jambo fulani ndipo unakuja kujua mtu mwenye mafanikio ni wa...
Salaam Wakuu,
Thread hii ya Mwendelezo, itatumika kuangazia hali ya Usalama na matokeo yake katika Mzozo wa Ukraine na Urusi.
Tuzujane hapa kianachojiri..
Mvutano kati ya Ukraine na Urusi...
Kuna baadhi yetu hatujui ni wakati gani na mazingira gani tutumie loud speaker katika rununu zetu, kwakuwa ipo hiyo option basi wewe unatumia tu.
Kuwa muangalifu sana unapotumia loud speaker...
Katika hali ya kushangaza waziri wa mambo ya nje wa zamani wa Iran Javad Zarif ameilalamikia Marekani kwa ajali ya Helikopta iliyosababisha kifo cha Rais wao Ebrahim Raisi.
Javad anasema ajali...
Wananchi wa Mwanza tumekuwa tukifuatilia kwa karibu ujenzi wa jengo la abiria la uwanja wa ndege la Mwanza linalotarajiwa kuufanya uwanja huu kuwa wa kimataifa.
Aliyekuwa RC wa Mwanza Makalla...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.