Suala hili kweli ni kero kubwa, sana Kwa watumishi, inafifiza moyo wa kufanya kazi, chanzo Cha magonjwa ya zinaa na UKIMWI, msongo wa mawazo, ukosefu wa furaha nk.
Usitawi wa familia unaangania...
Mimi nashangaa sana tena hapa kwetu kila kukicha wanaojitokeza kwa kusema wanavipaji vya kutengeneza helikopta.
Helikopta sio maputo wala utani kama wanvofikiria watu wengi na usalama wake ni...
BINTI ALIYEDAI ANAISHI NA NYOKA AJISALIMISHA KWA WAZIRI DKT. GWAJIMA
Aomba radhi, adai hajawahi kufanya hivyo alidanganya.
DAR ES SALAAM.
Itakumbukwa hivi karibuni ilienea video mitandaoni...
Sio jellyfish wote hawafi ila kuna huyo kitaaluma anaitwa Turritopsis dohrnii yeye pia huanza maisha kama lava, inayoitwa planula, ambayo hukua kutoka kwa yai lililorutubishwa. Planula huogelea...
Waziri Mkuu wa Israel Netanyahu akana Israel kuangusha Helicopter iliyomuua Raisi wa Iran asema kama ingetaka kulipiza kisasi Kwa Iran Kwa shambulio waliloishambulia Israel Kwa kuwarushia...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nimeishi na mke wangu zaidi ya miaka 30, lakini nilihisi ana bwana wa pembeni, nikaanza kufanya uchunguzi, kweli nikafuma baadhi ya msg , ambaxo kwa tabia...
DODOMA - Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dk Stergomena Tax ameliambia bunge kuwa haIi ya usaIama wa mpaka wa Tanzania na Msumbiji wenye urefu wa kiIomita 922.76, haitabiriki kutokana na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.