Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Naomba kueleweshwa, kinachosababisha Tanganyika na Zanzibar ziitwe nchi zilizoungana ni kipi? Nauliza haya kwa sababu 1.) Kila nchi ina Rais wake 2.) Kila nchi ina katiba yake 3.) Kila nchi...
13 Reactions
92 Replies
2K Views
Habari ningependa kujua hivi watu wanaopenda kutoa lugha chafu huwa wana matendo Gani machafu yaliyojificha nyuma yake?
1 Reactions
10 Replies
157 Views
  • Suggestion
UTANGULIZI Nina kiu na shauku ya kuendelea kuona Tanzania yenye wananchi na viongozi ambao ni wazalendo na wenye kuipenda nchi yetu kwa dhati. MATARAJIO YANGU - Wananchi na viongozi wajitolee...
0 Reactions
5 Replies
52 Views
Ni wazi Uchaguzi wa Mwenyekiti wa Chadema unafuatiliwa zaidi na viongozi wa CCM kuliko Wanachadema wenyewe Dkt. Kigwangalla amechachamaa ukurasani X akidai Mbowe hataki kuachia Uenyekiti wa...
15 Reactions
84 Replies
1K Views
Muda si mrefu, majasusi, wa, MOSSAD, wamefanya assassination kwenye viunga vya Lebanon, maeneo ya Hezbollah, wamemuua kiongozi, mkubwa wa, Hamas, sasa, ni Vita kila eneo, militarily, na covert...
21 Reactions
54 Replies
3K Views
Aliyekuwa mtumishi wa Jeshi la Magereza Tanzania, Salum Shamte (56), amesimulia namna kanuni za kukokotoa mafao (kikokotoo) ilivyosababisha apigwe butwaa baada ya kupokea ujumbe (sms) wa kiasi cha...
7 Reactions
35 Replies
945 Views
Nakaribisha wajuvi wa mambo kuhusu Iran. Huyu General Qassem Soleimani alikuwa na nini cha ziada ? Mbona wa Iran wengi huonesha kumkubali na kusikitishwa zaidi na kifo chake mpaka leo licha ya...
2 Reactions
6 Replies
38 Views
Wanaume wengi na vijana wengi wa humu hawana pesa ndefu wala michongo ya kueleweka kama wanawake ndo maana wanaume wa humu wamejaa makasiriko. Kila uzi wanawake, mara singo mom jamani tafuteni...
38 Reactions
335 Replies
3K Views
Kudadadeki kamata Kiteknolojia Mfumo wa Mawasiliano hasa wa Ndege(Anga) kisha fuatilia kwa umakini sana Ratiba za Kiongozi wa Juu kisha msetini vyema katika Target na akijaa tu ingilieni Mfumo wa...
13 Reactions
113 Replies
3K Views
Video na picha: Iran walikua sahihi kabisa kumbe mossad walikua na kituo Iraq [emoji1630] LEAKED FOOTAGE uploaded by a source close to Iranian & Iraqi resistance who’s exposing Zionist ties...
1 Reactions
7 Replies
5K Views

FORUM STATS

Threads
1,855,473
Posts
49,663,540
Back
Top Bottom