Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kwa heshima na taadhima, Kama kuna njia unaweza kurekebisha kauli hii, itapendeza au kuifuta kabisa, sijui . It is one of the worst, devastating statement from your mouth!
26 Reactions
98 Replies
4K Views
20 May 2024 Ikungi, Singida Ukoo pia wanakijiji wameamua baada ya kuligusa gari na yale matundu ya risasi watafanya tambiko la kijadi https://m.youtube.com/watch?v=w8L0W7rtMX8 Msemaji wa...
6 Reactions
40 Replies
978 Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nimeishi na mke wangu zaidi ya miaka 30, lakini nilihisi ana bwana wa pembeni, nikaanza kufanya uchunguzi, kweli nikafuma baadhi ya msg , ambaxo kwa tabia...
4 Reactions
31 Replies
730 Views
Nilikuwa mdau Sana wa uagizaji wa bidhaa ndogo ndogo toka nje na tayari Nilikuwa mzoefu kwenye chaguzi bidhaa ilikuwa ni nadra kupokea bidhaa isiyokuwa bora. Na kiutaratibu ilikuwa kwa kampuni...
1 Reactions
20 Replies
528 Views
Wasalaam, Dunia inaendelea kubadilika kila siku. Tunaona kuwa maneno yanapotea na badala yake namba na teknolojia ya kidijitali vinachukua nafasi kubwa. Tangu tunapozaliwa, tunapewa vyeti vyenye...
1 Reactions
16 Replies
111 Views
Tunaona taarifa na mjadala kuhusu ajali ya helkopta inayodaiwa ilimbeba Rais wa Iran. Ikumbukwe siku chache Iran ilivamia Israel kwa makombora /ndege zisizo na rubani na Israel waliahidi kulipiza...
14 Reactions
155 Replies
5K Views
Form 4 una “A” za kutosha, Form 6 una Div 1 kali (point 3-7), Chuo una first class, distinction. Mpaka unakufa sahau kabisa kumiliki gari kama hii. Utakaza sana ila utaishia kuendesha Passo...
26 Reactions
62 Replies
1K Views
Yaani kabisa uhusike katika Kulihujumu Taifa Teule na Mungu Israel halafu eti LAANA yake Mwenyezi Mungu isikupate?
3 Reactions
9 Replies
137 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
518K Replies
30M Views
Mwendesha mashtaka mkuu wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu wa Kivita, ICC, ametoa maombi ya kukamatwa kwa Waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu na kiongozi wa Hamas katika Ukanda wa Gaza kwa...
2 Reactions
27 Replies
629 Views

FORUM STATS

Threads
1,855,512
Posts
49,664,592
Back
Top Bottom