Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Imethibitishwa kuwa raisi wa Iran alikuwa ndani ya helicopter hiyo iliyopata ajali. Vikosi vya uokoaji vimeshindwa kutambua na kufika neo husika ilipotokea ajali hiyo kwa sababu ya hali mbaya ya...
19 Reactions
637 Replies
17K Views
Mimi nawaza mambo ya connection, yani kupeana mashavu / michongo ya maisha, wewe je?
1 Reactions
8 Replies
60 Views
Tunaosoma kundalini tunaweza kumuelewa kuwa trik za dunia zipo nyingi kuhusu dini.
9 Reactions
86 Replies
1K Views
Kama Kuna illegal issue yoyote nipo tayar kwa lolote, nipo tayar ku take risk kwa ajiri ya maisha yangu na familia yangu, najua mnaweza shidwa kunielewa. Yes nataman kukata mizizi hii ya mateso...
1 Reactions
12 Replies
93 Views
Nimeisoma kwa kiasi fulani Imani ya Kiarabu na Kiyahudi. Hizi imani mbili zinafanana, zote zinamkana Yesu Christu ndio maana maisha yao ni ya laana ya vita hadi hadi Yesu arudi. Warabu na Waarabu...
10 Reactions
94 Replies
1K Views
400 hundred years of slavery ya mtu mweusi katika ardhi ya marekani na visiwa vya carribean. Miaka mia kadhaa ya utumwa na ukandamizaji wa kiovu katika bara la Afrika. Naelewa katika process ya...
2 Reactions
16 Replies
949 Views
Leo ningependa kuzungumzia namna kijana yoyote wa Kitanzania ambae una utaalamu na/au ujuzi katika eneo fulani unavyoweza kupata kazi katika mashirika na makampuni ya kimataifa yaliyopo popote...
42 Reactions
200 Replies
10K Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
517K Replies
30M Views
Msimamo wa kula kwa urefu wa kamba imepata maana mpya na mbaya. Serikali ikiwa na vyombo vyote vya ulinzi na usalama katika kila mkoa, itaibiwaje kibwege hivi? Yes, serikali inaibiwa kibwege na...
8 Reactions
34 Replies
1K Views
Nadhani naingia kwenye msongo wa mawazo, nahitaji neno la faraja kwenu wa TANZANIA wenzangu, ndugu, kaka, dada, mama na baba zangu. Wakuu juzi, niliwashirikisha juu ya dhiki ya njaa Inavyotaka...
1 Reactions
30 Replies
178 Views

FORUM STATS

Threads
1,855,291
Posts
49,657,283
Back
Top Bottom