Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Nawasalimu wote wanajukwaa,leo nataka tujifunze silaha kuu tano zinazotumika katika ulimwengu wa kiroho. Kama wengi tunavyojua kuwa katika ulimwengu wa kiroho kuna falme kuu mbili,falme ya kwanza...
120 Reactions
2K Replies
291K Views
Nadhani naingia kwenye msongo wa mawazo, nahitaji neno la faraja kwenu wa TANZANIA wenzangu, ndugu, kaka, dada, mama na baba zangu. Wakuu juzi, niliwashirikisha juu ya dhiki ya njaa Inavyotaka...
1 Reactions
24 Replies
97 Views
1. Kunyamaza wakati fulani maishani mwako siyo kipawa bali ni nidhamu (1 Wathesalonike 4: 11). 2. Nyamaza unapohisi hasira (Mithali 14:17). 3. Nyamaza unapokuwa huna taarifa ya kutosha au...
28 Reactions
60 Replies
647 Views
Wanawake wengi katika ndoa hulalamika sana hasa kutokana na kukosa msisimko wa mapenzi wakati wa faragha. Wanalalamika kwa kuwa wanaume kila siku hutoa kitu kilekile, anakubusu, anakugusa kidogo...
4 Reactions
16 Replies
216 Views
Imethibitishwa kuwa raisi wa Iran alikuwa ndani ya helicopter hiyo iliyopata ajali. Vikosi vya uokoaji vimeshindwa kutambua na kufika neo husika ilipotokea ajali hiyo kwa sababu ya hali mbaya ya...
19 Reactions
629 Replies
16K Views
UBUNTU BOTHO Sababu kumi (10) ambazo zaipasa serikali kuhamisha ujenzi wa uwanja wa mpira jijini Arusha kwenda jiji Mwanza . 1)Fidia za eneo au viwanja, gharama za eneo au kiwanja Arusha ni...
8 Reactions
26 Replies
926 Views
Habari za majukumu wanazengo mada inajieleza. Viwanja vipo miti mirefu, Malimbe-nyegezi-Mwanza(viwanja vipo karibu na beach kama samanene,avash,jembe ni jembe,wag hill) viwanja vinafaa kwa...
0 Reactions
2 Replies
3 Views
Kupitia hiyo video aliyopost kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram Diddy anasema amekubali na anawajibika 100% kwa kitendo hiko alichokifanya na kitendo kilichoonekana kwenye video hiyo kamwe...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Kama Kuna illegal issue yoyote nipo tayar kwa lolote, nipo tayar ku take risk kwa ajiri ya maisha yangu na familia yangu, najua mnaweza shidwa kunielewa. Yes nataman kukata mizizi hii ya mateso...
1 Reactions
11 Replies
62 Views

FORUM STATS

Threads
1,855,291
Posts
49,657,283
Back
Top Bottom