Ameyasema hayo mbele ya Mkuu wa Mkoa Mh Chalamila alipofanya ziara wilayani hapo. Mheshimiwa Chalamila ameahidi kukutana na Mkuu wa Majeshi.
Hii imekaaje wadau maana naona kiongozi wa Serikali...
Wakuu, baada ya taharuki iliyotokea kuhusu Serikali kutoa idhini ya kuhesabiwa kwa Wanafunzi na Walimu waislamu Mashuleni naona imetoa zuio kwa kibali hicho.
Hadi sasa bado haijajulikana kwanini...
Akizungumza East Africa Radio asubuhi hii kwa Mahaba niue yake yote kwa Mumewe anayemuita Mwanasaikolojia wake Mke wa Mwanasaikoloja Maarufu nchini Dk, Chris Mauki aitwae Miriam Mauki amesema kuwa...
[emoji33]NIGHT VISION DRIVING GLASSES⠀⠀
⠀⠀
Furahia Kuona Vizuri
[emoji736] Itakukinga Na Taa zote Kali Za Full⠀⠀
[emoji736] Itakukinga Na Taa Kali za Barabarani⠀⠀
[emoji736] Itakukinga na Ukungu...
"Mpaka kufika JUMATATU nitakuwa NIMEMSHITAKI MAHAKAMANI ndugu ALBERT CHALAMILA kwa KOSA la KUHAMASISHA MAUAJI (Extra-Judicial Killings). JINAI huwa HAINA CHEO." - Peter Madeleka
Sioni sababu ya kupoteza muda kuulizana ulizana hali, kila mtu apambane na hali yake, moya kwa moya kwenye mada.
Toka balehe mshawasha wa kufanya mapenzi huwa mkubwa sana. Tuna fikiria vitu...
Salamaleko,
Shalom. Kama tunavojua kipindi hiki kwa maeneo ya vijijini ni kipindi cha kuvuna mazao na kuna niliko mimi kwa sasa debe la mahindi lina 7000 na debe la mpunga lina 5000. Maana yake...
Nikweli usiopingika kuwa Soka la tanzania limetawaliwa na mashabiki wanaoendeshwa na mihemko, hii hapa Orodha ya wachezaji wazuri waliokimbia Clabu zao na kutundika Daluga au kuhamia vilabu...
Kauli hiyo imetolewa leo na Naibu Waziri wa Nchi, Utumishi na Utawala Bora Ndg. Ridhiwani Kikwete wakati anajibu maswali yaliyoulizwa na Mbunge wa Ngara Ndg. George Ruhuro Bungeni Dodoma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.