Leo Simba Wana tukio (event) pale Dodoma mgeni rasmi akiwa Naibu Spika Zungu.
Kinachonifanya niseme chanzo cha matatizo ya Simba ni Viongozi ni pale Mjumbe mmoja wa Bodi aliyepewa nafasi WA...
Habari wanajukwaa.
Nimeamua mwakani mimi na familia yangu mke na watoto wawili tunatarajia kuhamishia maisha yetu Nchi ya Canada.
Nina kiasi Cha shilingi 50M ambacho nimeweka kwajili ya...
Mbunge wa Zamani wa ccm huko Rungwe, Sauli Pattaya, amewekwa kitimoto na Waziri wa Ardhi Jerry Silaa kwa utapeli wa wa Nyumba ya Udongo, kuivunja na kujenga jengo la ghorofa 8 kwa kushirikiana na...
Kuna nyoka, mjusi, kinyonga hawa wakishazaa au kutaga mayai hao wanaondoka hawana Tena time na watoto wao. Sungura na panda wao watakaa kidogo na watoto labda week then wanawaacha wajitegemee...
Wakuu Heshima mbele.
Juzi nilikuwa natokea PWANI nikakumbuka kwamba sikuwahi kuchukua cheti changu cha kidato cha sita. Sasa nilikuwa na mama watoto, nikamwambia sababu muda umeenda kesho...
Habari ndugu zangu, leo imetokea ajali kubwa Mbagala wamekufa watu zaidi ya wa 4. Ajali hii imepelekea wananchi kufunga barabara, na kuandamana kwasababu wanadai hii ni ajali kama ya 30 hivi na...
Habari wadau,
Mchungaji wa kanisa la kilokole akitoa ushuhuda wa kilichotokea kwenye ndoa ya waumini wake. Bwana harusi na yeye anaeleza kwa urefu alichokutana nacho kwenye usiku wa kwanza wa...
Habari wana Jamvi la JF naamini kuna watu wanafanya Biashara na wapo kwenye Peak yani kilele cha mafanikio.
Ila kuna shida inaweza kumpata mtu kupelekea akatengeneza hasara ya kupunguza faida...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.