Kuna wake za watu ambao, for some reasons, wanaamua kutembea nje ya ndoa.Si nia yangu kuwahukumu,lakini ili 'wasiharibikiwe' kwenye ndoa zao,natoa hili angalizo.Yote haya ni katika kubalansi maana...
Kwa vielelezo na ushahidi mkubwa, bila shaka Tanzania ina baadhi ya viongozi ambao akili yao yumkini ni chini ya wastani wa akili ya mwanadamu.
Fikiria kuwa serikali kwa takwimu inaeleza jinsi...
Salamu kamsalimie waziri wa Afya.
Nikiwa kwenye sintofahamu kwanini mambo Yana badirika kimya kimya namna hii.
Inakuwaje kadi ya clinic iliyoandikwa haiuzwi na Sasa inauzwa Kwa Tsh 10,000/=...
Mdoli huyu hata vitoto vyenye certificate ya electronic ya pale VETA vinaweza kuujenga.
Mdoli eti mpaka uusogelee usubiri dk kadhaa apate hisia ya kunyoosha mkono .
Mdoli waneupaka rangi ya...
Wasaalam.
Nawashukuru watanzania wote kwa ufuatiliaji wa wasilisho la bajeti ya wizara ya jamii 2024/25.
Namshukuru Mungu kwamba, mjadala mkubwa wakati wa uwasilishaji, ni ishara ya elimu...
WANANCHI WAIPONGEZA TANROADS-MOROGORO KWA KUREJESHA MIUNDOMBINU YA BARABARA WILAYANI MALINYI
Baadhi ya wananchi katika Wilaya ya Malinyi mkoani Morogoro wameipongeza Wizara ya Ujenzi kupitia...
Wadau niwaulize,
Ulishawahi kupenda mpaka ukajiona zuzu? Nilimpa jamaa moyo wangu mwisho wa siku tumeneemeka akaanza kudokoa nje. Amesahau viapo ahadi na hata familia. Anarudi home kwa sababu...
Mshindi namba 5 wa Miss Tanzania 2006, muigizaji na mjasiriamali Irene Pangras Uwoya, 35 amempokea Yesu kuwa bwana na mwokozi wa maisha yake!
Muigizaji huyo aliyezaliwa na kulelewa katika...
Hii kampenzi ya kuchanga ili kumnunulia gari jipya la kifahari Makamu Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani ni dhihaka iliyopitiliza kwa mwananchi wa kawaida. Tofauti kati ya wabunge wanaopitisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.