Wakuu kama kuna yeyote aliyewahi fanya kazi za security au anayejua mazingira ya kazi za security maeneo ya Dubai na Oman anipe mrejesho maana kuna dili nimepata huko ili nijue kama pananifaa au laah
Hii kampenzi ya kuchanga ili kumnunulia gari jipya la kifahari Makamu Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani ni dhihaka iliyopitiliza kwa mwananchi wa kawaida. Tofauti kati ya wabunge wanaopitisha...
Jamani tunaomba kupaza sauti zetu, kwa siku ya jana Mei 15, 2024 ilikuwa siku ngumu zaidi kwa wakazi wanaozunguka eneo la godauni la kuhifadhia 'sodium' kwenye eneo la barabara Mchicha Jijini Dar...
Miradi mingi ya ujenzi wa miundombinu inajegwa na wakandarasi wa kigeni hasa Wachina, miradi hiyo mingi imesimama pesa ya kuwalipa hakuna. serikali inajaribu kuwashawishi waendelee kujenga kwa...
Ingawa biashara ya Bitcoin inaweza kuwa na faida kubwa, ni muhimu kutambua kuwa ni uwekezaji hatari sana. Kabla ya kuanza biashara ya Bitcoin, ni muhimu kuzingatia mambo yafuatayo:
Hatari za...
Skendo inayomuandama msanii maarufu wa miondoko ya HipHop wa nchini Marekani, Puff Daddy a.k. P Didy, inazidi kupamba moto baada ya CNN kupandisha mitandaoni video inayomuonesha akimpiga vibaya...
Ukimuona mtu anaichukulia poa Facebook basi huyo sio mfanyabiashara wala mjasiriamali.
Hajui chochote kuhusu business.
For your information Facebook is more better in business than instagram...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.