Naam kama ilivyokuwa kwa Cristian Ronaldo(Cr7) bingwa mara 5 wa UEFA champions league akiwa kama mchezaji hadi kupelekea kupewa jina la utani KING OF UEFA basi ndivyo kwa Don carlo kwake imekuwa...
Kuna nyoka, mjusi, kinyonga hawa wakishazaa au kutaga mayai hao wanaondoka hawana Tena time na watoto wao. Sungura na panda wao watakaa kidogo na watoto labda week then wanawaacha wajitegemee...
Kuna kasumba imejengeka ambayo inaweka classes za watu kulingana na Mkoa wanakotokea.
Mathalani Mikoa ya Business Class (VVIP) ,Hawa Hujiona superclass na kwamba wanastahili attention
Dar
Arusha...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Wakuu nimekuwa nikitafakari hii kauli nzito inayotamkwa kila mara na wafuasi wa chama kinachomilikiwa na Mbowe (CHADEMA) kuwa chama chao ni mpango wa Mungu, ila bado sijathibitisha. Hata viongozi...
1. Siku zote simamia kwenye ukweli na uhalisia, usikubali kubali tu.
2. Ongea kwa ujasiri na uwazi, tena ongea kwa speed ndogo sio unaongea haraka haraka kama chiriku.
3. Unapo ongea na mtu...
Moderators naomba msifutle uzi wangu labda kuhamisha kama itawezekana..
Natumai wote mnaendelea vizuri na kwa ambao mko na changamoto Mungu awafanyie wepesi mrudi kwenye hali zenu za kawaida...
Katika harakati za mitandaoni, unajikuta umemwelewa mdada/mwanamke hapa JF.
Humjui sura, umbo, wala tabia yake ila moyo unamkubali tu.
Unajiuliza nini hiki sasa.
Sio mbaya kujaribu pengine...
Habari wanajukwaa.
Nimeamua mwakani mimi na familia yangu mke na watoto wawili tunatarajia kuhamishia maisha yetu Nchi ya Canada.
Nina kiasi Cha shilingi 50M ambacho nimeweka kwajili ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.