Huna nyumba, au unanyumba ya chumba kimoja au viwili vya kulala wakati una familia
Unatumia usafiri wa umma kwenye shughuli zako
Kiasi cha pesa kinachoingia kwenye Account mwisho wa mwezi...
Walio karibu na huyu jamaa embu wamuangalie au wamshauri aachane na SIMBA, familia yake imshauri aachane nao..hawaoni kama anawehuka hivi? Huyu jamaa anaanza kuwehuka flani hivi yote hii kwa...
Haimaanishi hawa wengine siwakubali la hasha! Ila hawa nitakao wataja nawakubali kwasababu zao mbali mbali na nitazitaja hapa, nawe pia mwamba unaweza kufunguka kama itakupendeza ingawa sio lazima...
Niende Moja Kwa Moja kwenye mada, enyi waislamu kwanini hamtambui uwepo wa mtoto wa nje ya ndoa wakati wa mirathi?
Eti mtoto wa nje ya ndoa hana haki ya kirithi mali za baba ake mzazi hivi sheria...
Kwa mujibu wa mtandao wa Score 90 wametoa kikosi chao bora cha muda wote katika soka. Unakubaliana nao, kama hukubalianai nao nani anatakiwa awepo kikosini?
Kama wewe ni mnywaji wa pombe zinazotengenezwa kwa ngano au pombe kali inakuhusu hii.
Wataalamu wa afya wameeleza uwepo wa athari hasi, kwa wale wenye tabia za kunywa pombe kabla ya kula chakula...
Hivi hili group la BDP (Big Dog Pose) lilikuwa linajumuisha watu gani kwa maana ya majina yao na je wako wapi kwasasa?
Nilikuwa na sikiliza Ngoma zao Kama Rudi, majobless na ile Walio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.