Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Salamu kamsalimie waziri wa Afya. Nikiwa kwenye sintofahamu kwanini mambo Yana badirika kimya kimya namna hii. Inakuwaje kadi ya clinic iliyoandikwa haiuzwi na Sasa inauzwa Kwa Tsh 10,000/=...
7 Reactions
38 Replies
384 Views
Mdoli huyu hata vitoto vyenye certificate ya electronic ya pale VETA vinaweza kuujenga. Mdoli eti mpaka uusogelee usubiri dk kadhaa apate hisia ya kunyoosha mkono . Mdoli waneupaka rangi ya...
4 Reactions
25 Replies
494 Views
Wasaalam. Nawashukuru watanzania wote kwa ufuatiliaji wa wasilisho la bajeti ya wizara ya jamii 2024/25. Namshukuru Mungu kwamba, mjadala mkubwa wakati wa uwasilishaji, ni ishara ya elimu...
12 Reactions
23 Replies
176 Views
WANANCHI WAIPONGEZA TANROADS-MOROGORO KWA KUREJESHA MIUNDOMBINU YA BARABARA WILAYANI MALINYI Baadhi ya wananchi katika Wilaya ya Malinyi mkoani Morogoro wameipongeza Wizara ya Ujenzi kupitia...
2 Reactions
2 Replies
33 Views
Wadau niwaulize, Ulishawahi kupenda mpaka ukajiona zuzu? Nilimpa jamaa moyo wangu mwisho wa siku tumeneemeka akaanza kudokoa nje. Amesahau viapo ahadi na hata familia. Anarudi home kwa sababu...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Mshindi namba 5 wa Miss Tanzania 2006, muigizaji na mjasiriamali Irene Pangras Uwoya, 35 amempokea Yesu kuwa bwana na mwokozi wa maisha yake! Muigizaji huyo aliyezaliwa na kulelewa katika...
35 Reactions
440 Replies
18K Views
Hii kampenzi ya kuchanga ili kumnunulia gari jipya la kifahari Makamu Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani ni dhihaka iliyopitiliza kwa mwananchi wa kawaida. Tofauti kati ya wabunge wanaopitisha...
5 Reactions
41 Replies
731 Views
Kwa vielelezo na ushahidi mkubwa, bila shaka Tanzania ina baadhi ya viongozi ambao akili yao yumkini ni chini ya wastani wa akili ya mwanadamu. Fikiria kuwa serikali kwa takwimu inaeleza jinsi...
5 Reactions
13 Replies
144 Views
Vipi wadau, Kwa kipindi kirefu nimekuwa najaribu bahati yangu kuopoa kifaa toka social networks tofauti tofauti kwani wadau kibao wanasema kule ni rahisi afu unang'oa vitu tbs. Wiki iliopita si...
1 Reactions
107 Replies
12K Views

FORUM STATS

Threads
1,854,762
Posts
49,640,348
Back
Top Bottom