Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Ninaangalia bunge live TBC ila viti vingi havina wabunge. Hii imekaaje? Mh. Naibu spika anauliza kama hoja imeungwa mkono na jibu ni ndiyo kwa idadi hii!! Je, tunahitaji kubadili sheria ili vikao...
0 Reactions
3 Replies
4 Views
Mtoto wa mchungaji Christina shusho 'Odesia Shusho' avishwa Pete ya uchumba.
1 Reactions
21 Replies
237 Views
Carlo Ancelotti raia wa Italia ana rekodi kubwa ya kuwa kocha aliyefika Fainali 5 na kubeba mataji manne ya Ligi ya Mabingwa Ulaya (UEFA Champions League), mara 2 akiwa AC Milan na mara 2 akiwa...
3 Reactions
13 Replies
404 Views
Wadau ni kipindi gani ajira za jeshi la polisi zinategemea kutangazwa?
0 Reactions
89 Replies
3K Views
Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan katika ukurasa wake wa Whatsapp ameandika haya, 👇👇 ==== " Mapema leo jijini Nairobi nchini Kenya nikihutubia katika Mkutano wa Shirikisho la Maendeleo la...
17 Reactions
52 Replies
4K Views
Sikuwa nafahamu kwamba Huyu TUndu Lissu ana Ushawishi Mkubwa namna hii sio tu leo ambapo tunamuona kwenye Jukwaa la Siasa bali kazi ya kutetea Nchi, Taifa na Wanachi wake ameianza Zamani ktk Ujana...
1 Reactions
4 Replies
5 Views
Habarini, Unakutana na mdada unamuona mzuri, na personality yake inaridhisha kiasi, unaanza kumtongoza (anakubali) mnakua kwenye courtship phase, jinsi mnavokaa na kuongea nae miezi kadhaa...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Dada anafunguka vibaya huko clouds FM kuhusu mambo ya cdm. Anamuanika Mbowe hadharani.
3 Reactions
104 Replies
2K Views
Tukiwa tunamalizia msimu huu, baadhi ya timu zimeshaanza kutoa jezi mpya kwa msimu ujao. Timu kubwa ya kwanza kuachia jezi zao ni Liverpool. Uzi huu utakuwa unakuletea jezi mpya kadri...
5 Reactions
41 Replies
1K Views
Labda Mimi elimu yangu ndogo, Mchina ana technology gani ya kumzidi USA🇺🇸 Nikiangalia wale mabwana kila sector wapo vizuri. 1) Upande wa ndege hawana mpinzani 2) Mambo ya space science ni hatari...
6 Reactions
48 Replies
483 Views

FORUM STATS

Threads
1,854,213
Posts
49,625,508
Back
Top Bottom