Mpaka sasa nchi ina Idadi ya majiji sita, ambayo ni ;
Dar es Salaam
Mwanza
Tanga
Mbeya
Arusha
Dodoma
Ni miaka 3+ tangia kuongeza kwa Idadi ya majiji, ambapo Dodoma ilipandishwa hadhi na kuwa...
Ni yule aliyekuwa zezeta wa Mercy once again.
Ilikuwa mwaka 2016 kuna dem flan wa kitusi walikuwa wamehamia kijijini kwetu wakitokea huko walikotoka.
Sasa bahna huyo Binti ni mrefu mwembamba...
Hey pals it's len again,
I know ni usiku lakini nataka kushare hi experience, I'm going through series of heart breaks right now and if I ever fail in life it's not me Iam failing but my...
Jumuiya ya Wanawake CCM (UWT) imeungana na Serikali kupitia Wizara ya Maendeleo ya Jamii katika kuadhimisha Siku ya Familia Duniani, ikiwataka wazazi kuungana katika suala la malezi badala ya...
Nimeona mdau mmoja humu anahamasisha watu wazame bush wakanunue kwa bei ndogo walete mazao mjini wauze kwa bei kubwa ili wapige pesa.
Hili wazo ni zuri sana lakini ni vyema tupeane tahadhari...
Salaam Wakuu,
Thread hii ya Mwendelezo, itatumika kuangazia hali ya Usalama na matokeo yake katika Mzozo wa Ukraine na Urusi.
Tuzujane hapa kianachojiri..
Mvutano kati ya Ukraine na Urusi...
Katika harakati za mitandaoni, unajikuta umemwelewa mdada/mwanamke hapa JF.
Humjui sura, umbo, wala tabia yake ila moyo unamkubali tu.
Unajiuliza nini hiki sasa.
Sio mbaya kujaribu pengine...
Ukanda wa Gaza: Makumi ya roketi yarushwa kuelekea Israeli.
Makumi ya roketi yamerushwa kutoka Ukanda wa Gaza kuelekea Israel Jumamosi asubuhi, Oktoba 7, na kusitisha makubaliano ya usitishwaji...
Twede kwenye hoja moja kwa moja wakuu wa afya Kama mpo naomba mnipe elimu ya kina. Mara kadhaa nimekua nikisoma makala tofauti tofauti kuhusu afya kwa upande wa jinsia za kike sijabahatika kuona...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.