Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kaka zangu nawajuze Jambo moja jepesi Sana . Huwa wanawake huridhika na Mambo madogo madogo ambayo ndio wanaume wengi Sana na hayo ndio humfanya Mwanamke kuteseka Sana. Mwanamke akikupenda...
7 Reactions
19 Replies
327 Views
Mbunge wa Jimbo la Moshi Vijijini(ccm),Profesa Patrick Ndakidemi amewataka wabunge kutofumbia macho vitendo vya ushoga na usagaji vinavyoendelea kushika kasi nchini na kushauri bunge kutunga...
4 Reactions
24 Replies
248 Views
Kama gym kwenywewe mazoezi ndo haya bakini na gym Zenu na mazoezi yenu.
7 Reactions
54 Replies
773 Views
Habari wakuu, Mpira wetu umepiga hatua mbili mbele, ila viwanja vyetu vimepiga hatua mbili nyuma. Leo hii Feitoto anachuana na Aziz ki kuchukua kiatu cha mfungaji bora, kipa Rey Matampi...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Kama malalamiko wanayoyatoa upinzani nchini, yangekua na mbadala, au yangeambatana na mbadala wa sera, mipango na mikakati bora zaidi, dhidi ya iliyopo sasa, basi ingeleta maana na changamoto...
2 Reactions
14 Replies
64 Views
Form 4 una “A” za kutosha, Form 6 una Div 1 kali (point 3-7), Chuo una first class, distinction. Mpaka unakufa sahau kabisa kumiliki gari kama hii. Utakaza sana ila utaishia kuendesha Passo...
26 Reactions
69 Replies
2K Views
Kumekucha! Maguzu masese. Upendo Peneza ana hoja, kwamba, kwa muda mrefu wanachadema wamekuwa wakiandamana kwa kuisingizia serikali kwamba kuna rushwa ndani yake. Upendo Peneza anasema, kwa kuwa...
1 Reactions
78 Replies
1K Views
Naomba kupata elimu kwa wataalamu wa barabara TANROAD kwa nini matuta yanayowekwa kudhibiti mwendo kwenye mteremko, yanawekwa hata upande wa pili wa kupanda mlima? Nina maana kuwa bumps kama hizo...
2 Reactions
12 Replies
93 Views
Mlonganzila ni jina la hosipitali ambayo ni sehemu ya hosipitali kuu ya taifa muhimbili, inasikitisha kuona jina hili la hosipitali limepata maana nyingine ambapo ina maanisha makalio makubwa na...
3 Reactions
21 Replies
166 Views
Ni humu humu Jf nliona wanaojiita wataalamu wa kupiga deki wakisifia sana njia ya kula pussy Kwa kutumia pipi kifua. Basi Jana nimejaribu ila it was a disaster. Picha linaanza mate yanajaa Kinoma...
3 Reactions
13 Replies
27 Views

FORUM STATS

Threads
1,855,721
Posts
49,670,728
Back
Top Bottom