Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Ligi ya NBC inaendelea leo ambapo Simba SC itapambana na Geita Gold kwenye uwanja wa Chamazi Complex. Simba inatafuta nafasi ya 2 huku Geita Gold ikijinusuru kushuka daraja. Mechi hii itapigwa...
5 Reactions
176 Replies
3K Views
Mhe David Kafulila Mkurugenzi Mkuu wa Ubia nchi PPP amewatoa hofu Watanzania kuwa Serikali yao ya awamu sita ina nia na dhamira njema dhidi yao. Katika kipindi Cha DK 45 Cha ITV Kafulila...
11 Reactions
101 Replies
730 Views
Maisha ya sasa yamebadilika Kumwachia Mungu kila kitu nahisi nae anachoka wakati mwingine. Kuna kazi nataka kuwapa watu/mtu atakae iweza kwa Dau atakalo litaka. Kazi ataifanya yeye na Team Yake...
1 Reactions
12 Replies
112 Views
Hellow wanachit chat Mi mgalikoko ,kijana wa makamo, jinsia ya kiume ni, ni kwa nini mnanitenga sana humu chitchat? Hasa ule uzi wa mention someone without any reason just to disturb them...
5 Reactions
43 Replies
162 Views
Je Wanaume mnapendelea 50/50 Au kutekeleza majukumu yako yote na sio kutegemea msaada kwa mwanamke?
2 Reactions
4 Replies
17 Views
Habari zenu Watanzania, Jamani mfumo wa maisha umebadilika sana tupo ulimwengu wa Technolojia ya hali ya juu. Sababu ya kuandika uzi huu imetokana na kupokea habari ya msiba ya aliekuwa rafiki...
9 Reactions
22 Replies
301 Views
Salaam Wakuu, Thread hii ya Mwendelezo, itatumika kuangazia hali ya Usalama na matokeo yake katika Mzozo wa Ukraine na Urusi. Tuzujane hapa kianachojiri.. Mvutano kati ya Ukraine na Urusi...
108 Reactions
137K Replies
9M Views
Shunie Extrovert Jimena FRANC THE GREAT The 13 Mnazareth Daudi Mchambuzi Dinazarde Carleen Wangari Maathai Mshana Jr
26 Reactions
6K Replies
131K Views
Je unajiskiaje wenzako wa rika lako wakiwa mbele kimaendeleo Yani wamekuacha. Je utakuwa Karibu nao kwa kujipendekeza ili wakupe connection Au utaamua kujitenga nao?
0 Reactions
4 Replies
28 Views
Kudadadeki kamata Kiteknolojia Mfumo wa Mawasiliano hasa wa Ndege(Anga) kisha fuatilia kwa umakini sana Ratiba za Kiongozi wa Juu kisha msetini vyema katika Target na akijaa tu ingilieni Mfumo wa...
36 Reactions
151 Replies
6K Views

FORUM STATS

Threads
1,855,810
Posts
49,673,111
Back
Top Bottom