Habari za muda huu Wanajamvi,
Hii Kampuni ya TTCL ni sikio la kufa na wala halisikii dawa tena, haifanyi vizuri kwenye mawasiliano ya simu kawaida wala kwenye Internet. Mimi nipo Dar es Salaam na...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hasssan alikuja na mpango kabambe na uliokonga na kugusa mioyo ya mamilioni ya...
Stephen Aziz Ki kwa offer alizonazo mezani ni lazima tu ataondoka kama ambavyo wengine wote waliowahi kuja nchini kwetu wakapata offer nono wakasepa zao, kikombe cha Clatous Chama, Fiston Mayele...
Evidence Is Now emerging Indicating the Iran Presidential Helicopter Crash WAS an Assassination
MAY 20, 2024
The crash of the Iran Presidential Helicopter is starting to appear to be a...
Mbunge wa Jimbo la Moshi Vijijini(ccm),Profesa Patrick Ndakidemi amewataka wabunge kutofumbia macho vitendo vya ushoga na usagaji vinavyoendelea kushika kasi nchini na kushauri bunge kutunga...
Mwalimu, kwa viwango na kipimo chochote kile, alikuwa kiongozi mwenye upeo na uelewa mkubwa kuliko Rais yeyote aliyefuata baada yake. Alifanya mambo makubwa sana kwa kuzingatia wakati wake.
Kosa...
Katika makala hii tutajadili jinsi ya kukufanya kiswahili kuwa bidhaa, jinsi ya kukufanya kuwa na mashiko kiuchumi, mbinu mpya ya kukiendeleza na kuwavutia zaidi wazungumzaji na jinsi tunavyoweza...
Hivi huyo Mnafiki na Msaliti aliyetusaliti sana Mechi za Yanga SC Beki Henock Inonga Baka mnambembeleza wa nini ili abakie Simba SC?
Muacheni aende huko Yanga SC anakokutaka kisha nitawaambieni...
UDOGONI DAR ES SALAAM 1960s
Kila nipitapo Maktaba hukutana na picha zinazonikumbusha mengi.
Picha hii alinipa Abdallah Mgambo miaka mingi ilioyopita.
Ilipigwa kwenye picnic mwaka wa 1965.
Kulia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.