Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Naomba kujua Kama kuna mtu amewahi kukutana na hili jambo na je alifanya nini? Mimi ni mtumishi wa Umma ninayechangia bima ya Afya kama mtumishi. Nimejaza form za kuomba mzee wangu kuingizwa...
0 Reactions
5 Replies
9 Views
A
Anonymous
Nina wiki moja nimekuja Moshi, nimetembela baadhi ya sehemu za Wilaya ya Moshi Vijijini, Shabaha, Kata ya Mabogoni. Wananchi wa Shabaha wanateseka sana na barabara iwe kipindi cha mvua au...
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Leo Mei 21, 2024, JKT Tanzania itacheza mchezo wake dhidi ya Azam FC kwenye uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo, Mbweni. KIla timu inapambana kutetea nafasi yake lakini zaidi Azam wakitafuta kusalia...
5 Reactions
63 Replies
997 Views
A
Mimi ni Mtanzania ninayeishi Marekani, kuna Mtanzania mwenzetu mbaye alikuja kama Mwanafunzi hapa, sijui vizuri kuhusu historia yake huko nyuma. Miaka kadhaa iliyopita alipata changamoto ya Afya...
72 Reactions
388 Replies
11K Views
Shunie Extrovert Jimena FRANC THE GREAT The 13 Mnazareth Daudi Mchambuzi Dinazarde Carleen Wangari Maathai Mshana Jr
26 Reactions
6K Replies
130K Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
927 Reactions
1M Replies
41M Views
Makamu Mwenyekiti wa Chadema Tundu Antipas Lissu amesema lilitokea tatizo kidogo kwa michango inayopitia M-Pesa lakini tatizo hilo limeshatatuliwa hivyo michango inaendelea kupokelewa. Hadi sasa...
9 Reactions
37 Replies
780 Views
Mbunge wa Iringa mjini mh Jesca ameitaka serikali kupiga marufuku Waigizaji wa Kiume kuigiza kama Wanawake Jesca amesema Wanaume hawa wakishazoea kuigiza kama Wanawake wanaweza kujisahau na...
2 Reactions
7 Replies
18 Views
Utambulisho wa Viongozi wa Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Bungeni wakati wa Uwasilishwaji wa Bajeti ya mwaka wa fedha 2024/2025 ya Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, tarehe...
6 Reactions
54 Replies
2K Views
Maisha ya chuo yana vurugu nyingi sana za kingono. Hosteli watu wanapigana "exile" kila siku. Waliopanga mitaani wanapika na kupakua pamoja kana kwamba wameoana. Wadada wengine wanapigwa "mtungo"...
31 Reactions
239 Replies
4K Views

FORUM STATS

Threads
1,855,775
Posts
49,671,981
Back
Top Bottom