Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Hivi mfumo wa kutuma maombi ya ajira jeshi la polisi ni kwangu tuu unasumbua ama na wengine mmekutana na changamoto hii?
2 Reactions
301 Replies
19K Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
124 Reactions
518K Replies
30M Views
Basi Yesu akazibinua Meza za Walanguzi na kusema " Nyumba Yangu ni mahali pa Sala LAKINI Nyie mmeifanya kuwa Pango la Wanyang'anyi" Mwenye masikio na Asikie Neno Kristo anayaambia Makanisa Mungu...
15 Reactions
55 Replies
1K Views
Mbunge wa Jimbo la Moshi Vijijini(ccm),Profesa Patrick Ndakidemi amewataka wabunge kutofumbia macho vitendo vya ushoga na usagaji vinavyoendelea kushika kasi nchini na kushauri bunge kutunga...
7 Reactions
40 Replies
478 Views
Kama gym kwenywewe mazoezi ndo haya bakini na gym Zenu na mazoezi yenu.
10 Reactions
69 Replies
1K Views
Tunafanya delivery kwa Wakazi wa Dar Unalipia ukipokea bidhaa yako Free delivery kwa Wakazi WA Dar(10KM) Tupo kariakoo mtaa wa ndanda na magira
5 Reactions
1K Replies
27K Views
A
Mimi ni Mtanzania ninayeishi Marekani, kuna Mtanzania mwenzetu mbaye alikuja kama Mwanafunzi hapa, sijui vizuri kuhusu historia yake huko nyuma. Miaka kadhaa iliyopita alipata changamoto ya Afya...
71 Reactions
383 Replies
11K Views
Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya. Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati...
112 Reactions
383K Replies
11M Views
Kama uzi unavyojieleza hapo juu nataka kufaham ni kabila gani la hapa Tanzania ambalo wanawake wao wana Lips nene/pana kama walivyo wanawake wa Ki ivory coast ? Nataka kufaham tu, kama hulijui...
6 Reactions
9 Replies
229 Views
Naomba kupata elimu kwa wataalamu wa barabara TANROAD kwanini matuta yanayowekwa kudhibiti mwendo kwenye mteremko, yanawekwa hata upande wa pili wa kupanda mlima? Nina maana kuwa bumps kama hizo...
2 Reactions
21 Replies
253 Views

FORUM STATS

Threads
1,855,765
Posts
49,671,786
Back
Top Bottom