Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Some people are just lucky sio kwamba eti wametoka kwenye familia tajiri au yenye kusapotiana au nchi iliondelea au labda ni juhudi zao, hapana au ni wezo mkubwa wa kiakili, ni basi tu kila...
6 Reactions
22 Replies
381 Views
Chini ya mwana mama shupavu na CEO wa NMB PLC Mrs. Ruth Zaipuna sasa kwa mara ya kwanza tangu uhuru hatifungani ya NMB Jamii Yaanza Kuuzwa Soko la Hisa London. Benki ya NMB imetanua wigo wa...
39 Reactions
178 Replies
3K Views
Ndugu zangu Watanzania, Michago ya kumchangia Lissu Fedha za kununulia Gari imewaumbua sana CHADEMA, imewapa aibu,fedheha ,imewavua nguo hadharani na imeonyesha na kuthibitisha kauli yangu...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Sina maneno mengi. Mimi ni mpenzi wa Magwaride ya Kijeshi. Katika magwaride ya nguvu ambayo JW wamewahi kufanya ni hili la mwaka 2021, miezi michache kabla ya Kifo cha Magufuli. Kweny hili...
0 Reactions
2 Replies
158 Views
Mkuu wa mkoa wa Njombe Antony Mtaka amewataka watumishi wa serikali kuachana na kulalamikia kikokotoo wakati umri wao wa kustaafu bado haujakaribia, na wajikite katika kufanya kazi kwa bidii...
3 Reactions
70 Replies
1K Views
Mhe David Kafulila Mkurugenzi Mkuu wa Ubia nchi PPP amewatoa hofu Watanzania kuwa Serikali yao ya awamu sita ina nia na dhamira njema dhidi yao. Katika kipindi Cha DK 45 Cha ITV Kafulila...
11 Reactions
128 Replies
897 Views
Mchezaji aliyewahi kuichezea Simba kwa siku 54 Dejan Georgijević ameshinda kesi ya madai dhidi ya Simba na anatakiwa kulipwa milion 500 za Kitanzania kwa kukiukwa mkataba wake wakati anachezea...
5 Reactions
23 Replies
633 Views
Hawa miamba wa Kiarabu niliowataja Vifo vyao vimekuwa kana kwamba ni Watu wasio na intelejensia inayowalinda Japokuwa hii ya Ebrahim Raisi inadaiwa inatokana na Exodus 14:14 " Mungu Atawapigania...
12 Reactions
113 Replies
3K Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
124 Reactions
518K Replies
30M Views

FORUM STATS

Threads
1,855,821
Posts
49,673,674
Back
Top Bottom