Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Ligi ya NBC inaendelea leo ambapo Simba SC itapambana na Geita Gold kwenye uwanja wa Chamazi Complex. Simba inatafuta nafasi ya 2 huku Geita Gold ikijinusuru kushuka daraja. Mechi hii itapigwa...
3 Reactions
40 Replies
385 Views
  • Suggestion
Chanzo: Adobe Stock UTANGULIZI: Maono yangu ni kuiona Tanzania katika nyanja ya elimu inapiga hatua kwa kutumia njia mbalimbali ikiwemo ufugaji. Napendekeza serikali ifatilie na kuchambua mawazo...
7 Reactions
41 Replies
272 Views
UDOGONI DAR ES SALAAM 1960s Kila nipitapo Maktaba hukutana na picha zinazonikumbusha mengi. Picha hii alinipa Abdallah Mgambo miaka mingi ilioyopita. Ilipigwa kwenye picnic mwaka wa 1965. Kulia...
2 Reactions
16 Replies
196 Views
Wanajamvi, Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?
42 Reactions
51K Replies
3M Views
Kwa akili ya kawaida ili swala la kumchangia gari lissu ni wizi na ufisadi, kwa hali ya kawaida wanae mchangia ndiye anasema anataka kuondoa umasikini kwa watz ila bado anaomba msaada kwa masikini...
6 Reactions
115 Replies
2K Views
Tusanue apps zipi unatumia kwenye simu, Android OS au iOS Ambazo zinakurahishia kwenye nyanja tofauti. Tuambie na namna ya kuzipata. Mfano: Hii unaweza kuipata kwa kuidownload kutumia browser...
3 Reactions
15 Replies
167 Views
Imedaiwa kuwa Safari ya siku 4 ya Rais William Ruto ambaye amealikwa na Rais Joe Biden, itagharimu takriban Tsh. Bilioni 3.94 kutokana na uamuzi wa Ikulu ya Kenya kukodi Ndege aina ya Boeing...
0 Reactions
2 Replies
3 Views
Kihasibu Mo Dewji hana anachodaiwa Simba, Ana kila haki ya kuifanya Simba iwe mali yake, Hata kumpa 49 % bado ni ndogo ukilinganisha na jinsi alivyoisaidia Simba. Licha ya kutumia kiasi cha...
0 Reactions
6 Replies
91 Views
Salaam wana JF, kifupi mimi niko nje ya nch napiga box lakin mipango yangu baada ya miaka 4 hiv nirudi nyumbani, hz kaz za viwanda kusimama 8hrs naona nikikomaa life iwe huku nitaumia cz life huku...
0 Reactions
3 Replies
4 Views
Ndugu wanajamvi, Asalaam Aleikhum. Kama kichwa cha habari kilivo hapo juu nimejikuta na kuwa mhanga wa hawa matepeli wa APP za mitandaoni. Iko hivi kuna mtu ambaye ninafahamiana naye ama ni mtu...
28 Reactions
72 Replies
4K Views

FORUM STATS

Threads
1,855,790
Posts
49,672,423
Back
Top Bottom