Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Naomba mnipe haki yangu ya kuuliza kile ambacho nakishuhudia katika makundi, jamii na nchi mbali mbali. Yaani katika muunganiko au mkusanyiko wa wa level yeyote ile, iwe familia, ukoo, wilaya...
8 Reactions
34 Replies
214 Views
Mama mmoja aliyefahamika kwa jina la Mchanga Omar Said mkazi wa kijiji cha Sizini wilaya ya Micheweni visiwani Zanzibar ameripotiwa kuwa amejifungua na kukizika kichanga kikiwa hai. Akizungumza...
1 Reactions
27 Replies
273 Views
Maisha yangu kwa muda mrefu nimekuwa nikiwa mdau wa kupenda sana ku hang na marafiki, nilipofika kwenye 25 nikaanza ku hang zaidi na small circle ya marafiki watano tu ambao tupo karibu sana Kwa...
1 Reactions
1 Replies
2 Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nimeishi na mke wangu zaidi ya miaka 30, lakini nilihisi ana bwana wa pembeni, nikaanza kufanya uchunguzi, kweli nikafuma baadhi ya msg , ambaxo kwa tabia...
18 Reactions
178 Replies
4K Views
Ligi ya NBC inaendelea leo ambapo Simba SC itapambana na Geita Gold kwenye uwanja wa Chamazi Complex. Simba inatafuta nafasi ya 2 huku Geita Gold ikijinusuru kushuka daraja. Mechi hii itapigwa...
5 Reactions
161 Replies
3K Views
Waziri Mkuu wa Israel Netanyahu akana Israel kuangusha Helicopter iliyomuua Raisi wa Iran asema kama ingetaka kulipiza kisasi Kwa Iran Kwa shambulio waliloishambulia Israel Kwa kuwarushia...
23 Reactions
112 Replies
4K Views
Salaam, Shalom!! Mungu ni Jina la Cheo kikubwa kuliko vyeo na mamlaka yote Mbinguni na duniani. Swali ni je, Mungu analo Jina lake binafsi? Jina la Mungu ni nani? Karibuni 🙏
8 Reactions
477 Replies
8K Views
Simply watanzania walikuwa bado hawajapevuka, hasa katika kuyaelewa mapungufu yaliyopo, na kipi walichokuwa wakikihitaji kwa wakati ule! Just simply case! Namshauri ajitokeze ajipange vizuri aje...
0 Reactions
2 Replies
93 Views
Maisha ya sasa yamebadilika Kumwachia Mungu kila kitu nahisi nae anachoka wakati mwingine. Kuna kazi nataka kuwapa watu/mtu atakae iweza kwa Dau atakalo litaka. Kazi ataifanya yeye na Team Yake...
1 Reactions
11 Replies
39 Views

FORUM STATS

Threads
1,855,810
Posts
49,673,035
Back
Top Bottom