Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kuna kasumba imejengeka ambayo inaweka classes za watu kulingana na Mkoa wanakotokea. Mathalani Mikoa ya Business Class (VVIP) ,Hawa Hujiona superclass na kwamba wanastahili attention Dar Arusha...
12 Reactions
110 Replies
1K Views
Kutoka Ufaransa , Mwenyekiti Samia amefanikiwa kuitambulisha ajenda yake ya kuwasidia Wakinamama wa Afrika kuondokana na matumizi ya Kuni na mkaa(Nishati chafu) Kwa kufanikiwa kupata ahadi za...
4 Reactions
25 Replies
68 Views
Ilikuwa nishuke kituo A ila hakuna tatizo hata nikishukua kituo B au C
5 Reactions
10 Replies
225 Views
Wasalaam wana jamvi, Kama kichwa cha huu uzi kinavyosema na nimeamua kuanzisha huu mkasa ambao ni wa kweli kabisa ulishawahi kunitokea kipindi cha nyuma miaka kadhaa iliyopita. Na huu mkasa...
14 Reactions
120 Replies
3K Views
Naona yeye ni mapipa kila kukicha,je anayohabari kuwa tayari bungeni kuna mamlaka mpya ya roboti?
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Saa 10:00 jioni, Dodoma Jiji watakuwa nyumbani dimba la Jamhuri wakiwakaribisha Simba SC Ni mnyama ama walima zabibu nani kuondoka na alama tatu? Mchezo huu utaruka mbashara hapa JamiiForums...
2 Reactions
37 Replies
357 Views
Una kituko umekiona mtandaoni, tushirikishane hapa…
103 Reactions
220K Replies
17M Views
Habari wana Jamvi la JF naamini kuna watu wanafanya Biashara na wapo kwenye Peak yani kilele cha mafanikio. Ila kuna shida inaweza kumpata mtu kupelekea akatengeneza hasara ya kupunguza faida...
4 Reactions
63 Replies
1K Views
Mbunge wa Singida Mashariki bwana Elibariki Kingu ameoneshwa kusikitika na Watanzania kutolipa Kodi kama inavyotakiwa wakati huo huo wanadai Maendeleo na kutoa lawama sana. Amesema Chi zote Zenye...
4 Reactions
37 Replies
565 Views
Taarifa ikufikie Popote ulipo kwamba Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu leo 17/05/2024 amekabidhiwa lile gari lake alilokuwemo siku mawakala wa Shetani walipoamua kumuua baada ya kushindwa...
5 Reactions
15 Replies
109 Views

FORUM STATS

Threads
1,854,609
Posts
49,636,174
Back
Top Bottom