Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Hakuna asiyemjua nguli huyu aliejipambanua kwa umahiri kwenye medani za kisiasa, kiuchumi na kijamii. Tundu Lissu ni mwanasiasa na mwanasheria maarufu nchini Tanzania anayejulikana kwa utetezi...
1 Reactions
3 Replies
4 Views
Karibuni tuinvest katika soko letu la hisa iwe meridian, iplay8 casino, m-bet, premier betting, skybet, landbrokerz, bet365... n.k...
229 Reactions
401K Replies
32M Views
Sijamsikia siku mbili hizi. Hakuongoza kikao cha Kamati Kuu Unguja. Siku hizi wapo watu wengi wanautamani urais,kwa hiyo rais akitoweka lazima tuulize
15 Reactions
79 Replies
1K Views
Mwendesha mashtaka mkuu wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu wa Kivita, ICC, ametoa maombi ya kukamatwa kwa Waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu na kiongozi wa Hamas katika Ukanda wa Gaza kwa...
3 Reactions
35 Replies
831 Views
Nina watoto 7 kutoka kwa wanawake wanne wote watoto nawalea kawaida yangu siamini mwanamke kulea mwanangu kwasbb ya kupachika chuki, na ubaguzi ila nilicho dhibitisha kwamba wanangu wote vitabia...
6 Reactions
16 Replies
171 Views
Habari wana Jf? Mimi ni kijana ila napenda kuwa na usafiri Kwa ajili ya mambo yangu ya kazi na privacy zangu mwenyewe za kimaisha. Kazi yangu ni Mwalimu . Naomba ushauri wa aina ya gari ambayo...
18 Reactions
191 Replies
13K Views
  • Suggestion
Chanzo: Adobe Stock UTANGULIZI: Maono yangu ni kuiona Tanzania katika nyanja ya elimu inapiga hatua kwa kutumia njia mbalimbali ikiwemo ufugaji. Napendekeza serikali ifatilie na kuchambua mawazo...
2 Reactions
11 Replies
91 Views
Mwanaume upo kwenye mtoko na mwanamke wako, mwanamke wako kavaa nguo inaonesha hadi vitu vya sirini, mwanaume unakenua jino tu ukiwa umeshikamana na mwanamke wako hadharani. Mnapiga na picha na...
17 Reactions
157 Replies
3K Views
habari wadau , kama unayo app ya Tigopesa cha kufanya update na pia kwa wewe ambae hauna nenda play store download jisajiri kula maisha wanatoa GB 1 masaa 24 nadhani zitakusaidia kukusukuma,
0 Reactions
3 Replies
58 Views
Naibu Katibu mkuu wa Chadema Zanzibar mh Salum Mwalimu hajaonekana hadharani kwa muda mrefu Sasa Yuko wapi?
0 Reactions
4 Replies
30 Views

FORUM STATS

Threads
1,855,665
Posts
49,668,784
Back
Top Bottom