Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

BINTI ALIYEDAI ANAISHI NA NYOKA AJISALIMISHA KWA WAZIRI DKT. GWAJIMA Aomba radhi, adai hajawahi kufanya hivyo alidanganya. DAR ES SALAAM. Itakumbukwa hivi karibuni ilienea video mitandaoni...
27 Reactions
138 Replies
3K Views
Habari. Kwa wanaume ulitumia au unatumia mbinu gani kumridhisha mwanamke?
2 Reactions
8 Replies
72 Views
NOTE: Hatuabudu Sanamu, tunaiheshimu tu! Je, Ukristo unaruhusu sanamu? Biblia inasemaje kuhusu sanamu? Mariam ambaye alimzaa Yesu bila kukutana kimwili na Yusufu , kama maandiko ya Biblia...
2 Reactions
14 Replies
196 Views
Mwanasoka bora duniani ambaye bado anawaacha Mapaparazi vinywa wazi juu ya ukweli wa watoto wake Mapacha (Eva na Mateo) na hata Cristiano Jr, wako wapi Mama za hawa watoto . Issue ya Mapacha hawa...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Mungu mkubwa Jimbo liko wazi!!! Miaka mitano, haonekani Jimboni. Jimbo la Nzega liko wazi!!
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Leo ni jumatatu na kama ilivyo Ada watu wako busy haswaa....pamoja na uchovu wa week end lakini watu wanajongea maeneo Yao ya kujitafutia rizikii. Bila shaka na nyie wa JF wenzangu mko sawa kabisa...
14 Reactions
97 Replies
2K Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
518K Replies
30M Views
Hivi hii inshu ya kupandisha bei za vocha huku mitaani kwa 10% katika kila thamani ya vocha wahusika wenyewe hawajaliona hili au wameamua kuwa “BUSINESS PARTNER” na akina Manki huko madukani?
3 Reactions
9 Replies
69 Views
Hivi mfumo wa kutuma maombi ya ajira jeshi la polisi ni kwangu tuu unasumbua ama na wengine mmekutana na changamoto hii?
2 Reactions
288 Replies
18K Views

FORUM STATS

Threads
1,855,640
Posts
49,668,186
Back
Top Bottom