Jinamizi la umasikini ni jinamizi la kale sana ambalo limeshika jamii ya mtanzania kwa sehemu kubwa. Ukiweka familia 10 utakuta zenye afadhali hazizidi 2.
Kihistoria, tokea awamu ya kwanza jamii...
Hii ni kwa tathmini yangu Mimi kama nitakuwa siko sawia mnisamehe.
Unakosaje kumiliki gari na nyumba huku una miaka zaidi ya 5 kwenye utumishi wa umma?
Jitahidi mtumishi mwakani uachane na...
Ni ushauri tu
Pale Makumbusho ipo gari ya TANU aliyokuwa anaendesha Babu yangu mzee Kamtawa 😃😃😃
Gari ya Jasiri TAL iwekwe Makumbusho nasi wenye mapenzi Mema tutamchangia anunue gari lingine la...
Baada ya kuchambua kwa kina hizi timu za kibongo na sasa nimejiridhisha kuwa Bingwa wa NBC Premier League msimu wa 2023/2024 atakuwa timu ya Simba Sc, mpaka ligi NBC inafika ukingoni Simba Sc...
☺️☺️☺️☺️☺️Let’s go☺️☺️☺️☺️☺️
1. Kwanza kabisa furaha unaweza ukaitengeneza wew mwenyew, ivo furaha ni chaguo. Unaweza kuchagua kuwa na furaha, hata unapokabiliwa na changamoto.😊
2. Furaha si...
Maana ya Msongo wa Mawazo (Sonona) Msongo wa mawazo ni mfadhaiko wa akili anaoupata mtu kutokana na shida, taabu, dhiki, matatizo au changamoto zinazomkabili katika maisha ya kila siku.
Mtu...
Habari wana Jamvi la JF naamini kuna watu wanafanya Biashara na wapo kwenye Peak yani kilele cha mafanikio.
Ila kuna shida inaweza kumpata mtu kupelekea akatengeneza hasara ya kupunguza faida...
Kutoka Ufaransa , Mwenyekiti Samia amefanikiwa kuitambulisha ajenda yake ya kuwasidia Wakinamama wa Afrika kuondokana na matumizi ya Kuni na mkaa(Nishati chafu) Kwa kufanikiwa kupata ahadi za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.