Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kama alivyo Tundu Lisu yeye ni bahari hakai na uchafu lazima hautapike. Sasa na mimi namuenzi Lisu kwa kusimama katika ukweli na nina swali naomba majibu, je gari ya Lisu haitengenezeki? Maana...
7 Reactions
37 Replies
103 Views
BINTI ALIYEDAI ANAISHI NA NYOKA AJISALIMISHA KWA WAZIRI DKT. GWAJIMA Aomba radhi, adai hajawahi kufanya hivyo alidanganya. DAR ES SALAAM. Itakumbukwa hivi karibuni ilienea video mitandaoni...
22 Reactions
110 Replies
2K Views
Naomba kujua wadau, hivi mtu anayefanya kazi na jeshi la polisi kwa kitengo cha laboratory technician mwenye degree, mshahara unaanzia shingapi?
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Sijamsikia siku mbili hizi. Hakuongoza kikao cha Kamati Kuu Unguja. Siku hizi wapo watu wengi wanautamani urais,kwa hiyo rais akitoweka lazima tuulize
8 Reactions
43 Replies
606 Views
Baada ya viedo ya Diddy kusambaa akimpiga aliyekuwa mpenzi wake Cassie aomba radhi kupitia page yake. Pia soma: Shocking: Video inayomuonesha P Diddy akimpiga vibaya mpenzi wake Cassie...
4 Reactions
43 Replies
1K Views
Nimejaribu kufichua ila lijafanyiwa kazi na serikali inatakiwa kuchukua sheria kali kwa watu kama hawa wakina shk zid makubuli kuhusu na chuki za kupandikiza haswa makabila. Dkt. Gwajima D...
2 Reactions
4 Replies
63 Views
Karibuni tuinvest katika soko letu la hisa iwe meridian, iplay8 casino, m-bet, premier betting, skybet, landbrokerz, bet365... n.k...
229 Reactions
401K Replies
32M Views
Habari za Harakat za Maisha Wana forum. Mimi ni kijana WA Miaka 32 3 months ago nimekutana na demu, nikapiga kawaida Tu bila mpira..... Nikapata UTI nimekunywa flucamox mara 2, bila nafuu...
26 Reactions
392 Replies
20K Views
Rais Biden wa USA amesema Nchi yake inapinga amri ya ICC ya kuwakamata Waziri mkuu wa Israel mh Benjamin Netanyahu na Waziri wake Gallant Biden amesema ni makosa makubwa kuwaweka Israel kwenye...
3 Reactions
11 Replies
96 Views
Habari wakuu, Kiukweli kwenye haya maisha sio lazima ufundishwe kila kitu. Kuna wakati unafika unajaribu kupambana na kulifanya jambo fulani ndipo unakuja kujua mtu mwenye mafanikio ni wa...
13 Reactions
52 Replies
842 Views

FORUM STATS

Threads
1,855,605
Posts
49,667,461
Back
Top Bottom