Kutoka Ufaransa , Mwenyekiti Samia amefanikiwa kuitambulisha ajenda yake ya kuwasidia Wakinamama wa Afrika kuondokana na matumizi ya Kuni na mkaa(Nishati chafu) Kwa kufanikiwa kupata ahadi za...
Kuna malalamiko hasa upande wetu sisi wanaume juu ya tabia moja ya kuomba hela inayofanywa na wanawake. Tabia hii imepewa jina "Kuomba hela" sababu ndicho kitendo kikuu hapo hakuna jambo lingine...
Saa 10:00 jioni, Dodoma Jiji watakuwa nyumbani dimba la Jamhuri wakiwakaribisha Simba SC
Ni mnyama ama walima zabibu nani kuondoka na alama tatu?
Mchezo huu utaruka mbashara hapa JamiiForums...
1. Wadada ( Wanawake ) kuogelea wakiwa katika Periods ( Hedhi ) zao na Kuchafua kabisa Maji hadi Kukinaisha wengine?
2. Watu kwa Makusudi kabisa Kukojoa ndani ya Maji?
3. Kuukweka kwa Wastani?
1. Siku zote simamia kwenye ukweli na uhalisia, usikubali kubali tu.
2. Ongea kwa ujasiri na uwazi, tena ongea kwa speed ndogo sio unaongea haraka haraka kama chiriku.
3. Unapo ongea na mtu...
Wazanzibari nimeamini Shukrani Hawana
Nilikuwa kijiwe kimoja pale kisiwandui Zanzibar
Baadhi ya wazanzibari walalamika Raisi Samia kuwapa wazanzibari ajira Bara kuwa wanaharibika na kuua...
Habari wana Jamvi la JF naamini kuna watu wanafanya Biashara na wapo kwenye Peak yani kilele cha mafanikio.
Ila kuna shida inaweza kumpata mtu kupelekea akatengeneza hasara ya kupunguza faida...
Taarifa ikufikie Popote ulipo kwamba Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu leo 17/05/2024 amekabidhiwa lile gari lake alilokuwemo siku mawakala wa Shetani walipoamua kumuua baada ya kushindwa...
Hawa wadogo zetu almaarufu watoto wa 2000 wanashida kubwa sana, kizazi hiki cha 2000 ni kizazi cha ovyo kuwahi kutokea. Kwa muda sasa kimekuwa kikisemwa hasa kwenye mitandao ya kijamii na kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.