Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wadau ni kweli mitandao ya simu imeanza kurudisha bando za intaneti? Binafsi yangu zijapokea mbs zangu ambazo nilishindwa kutumia wakati ntaneti ilivyokata
4 Reactions
13 Replies
140 Views
Haimaanishi hawa wengine siwakubali la hasha! Ila hawa nitakao wataja nawakubali kwasababu zao mbali mbali na nitazitaja hapa,,,nawe pia mwamba unaweza kufunguka kama itakupendeza ingawa sio...
7 Reactions
23 Replies
192 Views
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Moses Nnauye amewataka Wazazi kutowaacha Watoto wao kutumia zaidi mitandao ambapo si salama inapelekea kuharibu kizazi hiki...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Nawakumbusha tu akina Clouds, Wasafi, Channel ten nk Chadema ni blood yaani Uhai kwa walioiamini hata kama Sasa wako CCM kwa sababu za Njaa iliyotukuka kwenye matumbo yao na Ada za Watoto...
19 Reactions
41 Replies
923 Views
Meneja wa Golikipa Aishi Manula amesema, Djigui Diarra ni usajili bora zaidi wa Yanga katika mafanikio yao ya kutwaa Ubingwa wa ligi kuu misimu (3) mfululizo" Jemedari Said amesema hajawahi kuona...
3 Reactions
14 Replies
381 Views
Katika Hotuba ya Museveni amejaribu kuelezea matatizo yanayoikumba Afrika lakini pia kaelezea mgogoro wa Sudan akidai Katitka Mikutano ya mapatanisho kati ya waasi wa sudani kusini na sudan...
9 Reactions
42 Replies
625 Views
Hakikisha katika kipato chako unachokipata usisahau kutoa sadaka Usisahau kuwakumbuka watoto yatima Usisahau kuwakumbuka wenye mahitaji maalumu Usiwasahau wenye hali za chini
11 Reactions
28 Replies
335 Views
Ni wakati sasa mkurugenzi wa NIDA abadilishwe. Ni wakati wa NIDA ijitegemee yenyewe isipewe fedha na serikali tena Kama NIDA ingepata kiongozi mbunifu ingeingiza mapato mengi sana kama...
1 Reactions
2 Replies
62 Views
Wadau ni kipindi gani ajira za jeshi la polisi zinategemea kutangazwa?
1 Reactions
96 Replies
3K Views

FORUM STATS

Threads
1,854,256
Posts
49,626,793
Back
Top Bottom