Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Sisi wanaume ni ngumu kujua hatujapewa huo uwezo machoni, labda iwe ni wazi wanaonesha hawampendi. Sababu ni hizi 𝗪𝗶𝘃𝘂 Ukute wewe ni mtu unaewajibika kwa mkeo, unampenda na kumjali na unamtunza...
0 Reactions
8 Replies
81 Views
Wakuu habari, naombeni msaada wenu, iko ivi kuna manzi niko nae, ex wake alichukua simu ya manzi wangu na kuni block kwenye calls za kawaida, yaank nikipiga au manz akicheki simu zinakuwa zinakata...
1 Reactions
10 Replies
29 Views
Huna nyumba, au unanyumba ya chumba kimoja au viwili vya kulala wakati una familia Unatumia usafiri wa umma kwenye shughuli zako Kiasi cha pesa kinachoingia kwenye Account mwisho wa mwezi...
6 Reactions
23 Replies
89 Views
Nimeamua kuoa mke darasa la 2, ukimchunguza sana ni kama hazijatimia. Lkn yuko fertile kinyama, ukigusa tu mimba. Nimeamua kufanya hivi ili kuwakwepa mafeminist, wajuaji, wapenda hela, wapenda...
50 Reactions
125 Replies
2K Views
Habari wajf Leo nimeshangaa kuona eti Bado watoto wanafundishwa kuandika barua ya kirafiki mashuleni zama hizi za sayansi na Teknolojia?? Kwa maono yangu wafundishwe kutumia simu nanna ya kutuma...
0 Reactions
4 Replies
5 Views
Rejeeni andiko hili hapa e-GA inahujumiwa njama za kuhujumu eGA Mipango yakuiua ega ilianza toka zamani ,maswali ya msingi haya nani ana majibu yake 1.Kwa nini wanaitoa wizara ya utumishi? 2.Kama...
4 Reactions
30 Replies
1K Views
Najua wengi itakua ngumu kunielewa. Huyu jamaa amewekwa pale Ili kuwapumbaza wanasimba na wanasimba bila kuwa na uelewa wanamuona kama ni Mtu wa maana sana. Hivi hamjiulizi kila siku anaropoka...
4 Reactions
20 Replies
429 Views
Hii ni baada ya bunge kuwa la chama kimoja Bunge limepoteza mvuto kabisa Kwa wananchi kususa kufuatilia mambo ya bunge Nakumbuka kabla ya bunge Kuwa la chama kimoja Wakati huu wa bunge la bajeti...
3 Reactions
17 Replies
367 Views

FORUM STATS

Threads
1,854,339
Posts
49,629,258
Back
Top Bottom