Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Sikuwa nafahamu kwamba huyu Tundu Lissu ana Ushawishi Mkubwa namna hii sio tu leo ambapo tunamuona kwenye Jukwaa la Siasa bali kazi ya kutetea Nchi, Taifa na Wanachi wake ameianza Zamani ktk Ujana...
7 Reactions
89 Replies
1K Views
Labda Mimi elimu yangu ndogo, Mchina ana technology gani ya kumzidi USA🇺🇸 Nikiangalia wale mabwana kila sector wapo vizuri. 1) Upande wa ndege hawana mpinzani 2) Mambo ya space science ni hatari...
12 Reactions
125 Replies
2K Views
Natengeneza furniture material block board /melamine board Nakaribsha mbia
0 Reactions
2 Replies
74 Views
Nimekuwa na marafiki na ndugu zangu wa karibu walio karibu sana na viongozi wa CCM na Serikali, hasa mawaziri, wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya, na wakurugenzi wa mamlaka mbalimbaki za Serikali...
0 Reactions
5 Replies
12 Views
Katika Hotuba ya Museveni amejaribu kuelezea matatizo yanayoikumba Afrika lakini pia kaelezea mgogoro wa Sudan akidai Katitka Mikutano ya mapatanisho kati ya waasi wa sudani kusini na sudan...
16 Reactions
98 Replies
2K Views
Salamaleko, Shalom. Kama tunavojua kipindi hiki kwa maeneo ya vijijini ni kipindi cha kuvuna mazao na kuna niliko mimi kwa sasa debe la mahindi lina 7000 na debe la mpunga lina 5000. Maana yake...
18 Reactions
66 Replies
2K Views
Huna nyumba, au unanyumba ya chumba kimoja au viwili vya kulala wakati una familia Unatumia usafiri wa umma kwenye shughuli zako Kiasi cha pesa kinachoingia kwenye Account mwisho wa mwezi...
6 Reactions
24 Replies
89 Views
Hii ni baada ya bunge kuwa la chama kimoja Bunge limepoteza mvuto kabisa Kwa wananchi kususa kufuatilia mambo ya bunge Nakumbuka kabla ya bunge Kuwa la chama kimoja Wakati huu wa bunge la bajeti...
3 Reactions
18 Replies
367 Views
Dada anafunguka vibaya huko clouds FM kuhusu mambo ya cdm. Anamuanika Mbowe hadharani.
15 Reactions
222 Replies
6K Views

FORUM STATS

Threads
1,854,339
Posts
49,629,258
Back
Top Bottom