Hiki chuo sijui kinaelekea wapi kwakweli. Chama tawala kimekishika pabaya. Chuo kila kukicha kinajiingiza kwenye siasa.
Huu utafiti ni kichekesho[emoji38]
Ndugu zangu Watanzania,
Nape Nauye waziri wa Habari na Mawasiliano amesema ya kuwa serikali haikuwakatalia Starlink kufanya kazi Nchini bali walikwama wenyewe kutimiza mashariti yaliyohitajika...
Bei ya mahindi Kwa gunia la kilo 100 imeshuka ghafla Mikoa ya Nyanda za Juu kutoka wastani wa sh. 80,000 Hadi sh.65,000.
Serikali nayo imesitisha kununua mahindi Kwa Sababu imenunua Tani za...
Baadhi ya mambo yaliyojitokeza kwenye majadiliano ya CHADEMA ni pamoja na kupenyezwa kwa hoja ya kuwasamehe wabunge 19 warejee kwenye chama. Wajumbe kwa kauli moja wamewakataa wabunge hao na kudai...
Salaam sna wna jf familia yetu pendwa.......! Mim ni kijana wa umri wa miaka 33 bado sijaoa nina harakat zngy t za mjini znazonfnya naendlea kuish vzr tu kw mapenz ya mung kwnye hii nchi yetu ya...
Kufuatia agizo lililotolewa na Serikali kupitia kwa Waziri wa TAMISEMI nchini Mhe Mohamed Omary Mchengerwa,
Agizo hilo limeitaka DART kuhakikisha inakamilisha taratibu zote za Ubia na Mbia wa...
Kumbe Mzilankende Magufuli alikuwa hakubaliki na alikataliwa Hadi kwao ?😁😁😁
My Take: Chadema acheni kutoa Siri za Wakubwa , yaani mumejua kunifurahisha 😂😂
====
CHAMA cha Demokrasia na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.