Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Hawa jamaa wanaotengeneza meme huwa wana waza nini?😅😅😅
7 Reactions
10 Replies
205 Views
Ndugu wana JF - Jukwaa la Siasa; Mjadala wa muungano tata wa Tanganyika na Zanzibar (1964) unaendelea tena leo.... Na kwa kweli mjadala huu haupaswi kuishia njiani isipokuwa tu wote tumeelewana...
7 Reactions
127 Replies
2K Views
Jeshi la Polisi mkoa wa Arusha leo Mei 16, 2024 limepokea msaada wa pikipiki 20 toka benki ya CRDB kwa ajili ya kuimarisha usalama wa raia na mali zao katika Mkoa huo. Akikabidhi pikipiki hizo...
1 Reactions
1 Replies
62 Views
Kila mtu hata kama ni jasiri kiasi gani lazima kuna kitu atakuwa anakiogopa tu. Hitler mwenyewe aliogopa mtihani. Katika mazingira yalituzunguka tunaishi na viumbe hai wengi yaani mimea na wanyama...
7 Reactions
96 Replies
2K Views
Heshima kwenu wataalam, nimehamia kikazi hapa Mwanza. Sasa nimekuja kugusa bei za nyumba nikaona kama nitawapa faids tu washkaji. Maana nyumba ya standards zangu naambiwa 3,600,000/= kwa mwaka...
13 Reactions
145 Replies
19K Views
Salaam sna wna jf familia yetu pendwa.......! Mim ni kijana wa umri wa miaka 33 bado sijaoa nina harakat zngy t za mjini znazonfnya naendlea kuish vzr tu kw mapenz ya mung kwnye hii nchi yetu ya...
1 Reactions
17 Replies
302 Views
Waziri Bashe anachapa kazi kwelikweli pale Wizara ya Kilimo kiasi cha kuwa tishio Kwa kundi la wasaka urais ndani ya CCM wanapoona anawaovershine Kwa sasa moja ya mbinu wanazotumia ni kumchafua...
3 Reactions
54 Replies
1K Views
Tundu Lissu amejibu tuhuma zilitolewa dhidi yake kwamba anayoyasema kuhusu Rais Samia na mtoto wake Abdul kutoa pesa ili kuvuruga uchaguzi ndani ya CHADEMA. Majibu hayo yamekuja baada ya member...
17 Reactions
60 Replies
1K Views
Salamaleko, Shalom. Kama tunavojua kipindi hiki kwa maeneo ya vijijini ni kipindi cha kuvuna mazao na kuna niliko mimi kwa sasa debe la mahindi lina 7000 na debe la mpunga lina 5000. Maana yake...
16 Reactions
61 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,854,325
Posts
49,628,911
Back
Top Bottom