Haimaanishi hawa wengine siwakubali la hasha! Ila hawa nitakao wataja nawakubali kwasababu zao mbali mbali na nitazitaja hapa,,,nawe pia mwamba unaweza kufunga kama itakupendeza ingawa sio lazima...
Wadau ni kweli mitandao ya simu imeanza kurudisha bando za intaneti?
Binafsi yangu zijapokea mbs zangu ambazo nilishindwa kutumia wakati ntaneti ilivyokata
Habari wadau wa ufugaji. Kumekuwa na changamoto ya upatikanaji wa mbegu bora ya samaki. Zilizopo nizile ambazo hazikui sana kufikia kiasi cha Sato mkubwa, asilimia kubwa zinakuwa kama perege. Je...
Nimeona mdau mmoja humu anahamasisha watu wazame bush wakanunue kwa bei ndogo walete mazao mjini wauze kwa bei kubwa ili wapige pesa.
Hili wazo ni zuri sana lakini ni vyema tupeane tahadhari...
Historia ya kweli kumuhusu Simba karatasi huko umakondeni.
Mnamo miaka ya mwisho ya 80 hadi katikati ya miaka ya 90, huko kusini mwa Tanzania paliwahi kuwepo ndui aliyesumbua kwa kipindi kirefu...
nikivuka huu mwezi bila kulala kituo cha polisi sijui
tokea mwezi wa nne nimekuwa na mabalaa kwenye kazi yangu ya ufundi yaani hata sijui inatokeaje
kuna mteja aliniletea tv nch32 ilikuwa ya...
Lecturer anayefundisha kozi ya Research Methodologies akifukuza Wanafunzi ambao hawajakamilisha Ada.
Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) tumezuiwa kufanya mitihani ya Test One kwa...
Shalom,
Kula shoo ya mume wa mtu kula shoo ya mke wa mtu ila ukweli ni kwamba malipo ni hapahapa Duniani. Karoge kajizindike but karma has no prevention. Na karma inachagua yenyewe uje kwa namna...
Nawakumbusha tu akina Clouds, Wasafi, Channel ten nk
Chadema ni blood yaani Uhai kwa walioiamini hata kama Sasa wako CCM kwa sababu za Njaa iliyotukuka kwenye matumbo yao na Ada za Watoto...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.